Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Option nzuri kwangu naweka 2+ kwenye games ambazo ni uhakika full time goals2 lazma zifungwe.
 
Point... ila wengi wao wanatumia hela zenye matumizi mengine mfano tution fee au mkopo ili kuzalisha zaidi. kivyovyote huyu mtu hawezi kubet for fun, ili kubet for fun ni lazima mtu atumie pesa za ziada ambazo haziadhiri hata ukimangwa.
kumanga raha sana... ila kumangwa daaah
Cute b...upo aliadimika saana
 
Mbinu gani mkuu unayotumia na mm nikufate nirudishe pesa zangu? Maana hata mm nimepasuka sn

Single bet ni kubet timu moja tuu. Pia epuka sana kubet matokeo ya mwisho, yaani ubashiri wa nani atashinda. Unaweza bet option mbadala. Kwa soka unaweza bet say 28+, corners, card, 3+, 2+ n.k. Though mimi huwa sipendelei sana betting ya soka kwani sina bahati nayo. Katika mikeka ya soka nimeliwa pesa nyingi kuliko nilizokula.

Mimi zaidi nimejikita katika Basketball. Kwa siku duniani kuna mechi zaidi ya 50 za basket. Na at a time unaweza kuta mechi zaidi ya 20 zipo katika listing ya live in play ya makampuni kama bet365, williamhill, Bwin nk.

Mimi natumia kampuni ya Bet365. Kuanzia mida ya saa 11 jioni mpaka saa 3 usiku, hawa Bet365 huwa wanakuwaga na game si chini ya 50 in total za basketball kwa live. Na nacheza sana live in play games za basket. Pia hawa jamaa hawana fugisu mara network imekata nk, so ni fair bussines, zaidi ya yote wana option ya kucash out pesa unapoona mambo hayajakaa sawa ama yamekaa sawa kiupande wako. Na option ninazocheza sanasana katika basket ni over/under points. In long run inanilipa.

Siwezi sema kuwa kila siku nashinda. Kuna kipindi naliwa hata wiki nzima mfululizo, But in long run nikipiga nilizokula na kuliwa nilizokula ni nyingi kuliko nilizoliwa, ni stamina yako tuu na survaivability yako katika game Stake ambazo ni affordable kwangu na ambazo huwa nacheza ni kuanzia $ 20 mpaka $ 100 per game.

Mwisho wa yote, kama mambo mengine yalivyo katika hii dunia. Betting ina discpline yake. Katika kamari/betting ni vyema ukajiwekea kiwango na mipaka. Na hii ndo maana kwangu nakataa kuwa siwezi bet for fun.

" Betting means Bussines "
 
Aliyefuata tunasubir za kesho, option hii rahis
 
Attachments

  • 1457039356056.jpg
    1457039356056.jpg
    69.1 KB · Views: 53

mkuu kikapu kinalipa tena sana hata mimi nikipigwa kwenye soccer huwa natokea huko,na kwenye kikapu unaweza weka hata timu 5 zote zikatoa.mfano NBA kwa jana mecgi zote isipokuwa 1 zimetoa under na huwa inatokea mara nyingi kiufupi kwenye kikapu risk ni ndogo kuliko soccer.kuna siki nilikuwa na laki 2 nikabet kikapu kwa kuweka over kwa mechi 4 timu mbili mbili niliamka na laki 7 kitu ambacho kwenye soccer ni ngumu kupata.
mfano jana,kama myu aliweka under kwa timu mbili mbili na akatia mpunga mzuri lazima leo aliamka na pesa nzuri

1153834246166 Standard account
------------------------------------------
[7/7]
0151 03-03 03:00:00 Orlando-Chicago
Total Points[215.5] < 1.87
0304 03-03 03:30:00 Boston-Portland
Total Points[218.5] < 1.86
0325 03-03 04:00:00 Memphis-Sacramento
Total Points[215.5] < 1.82
0322 03-03 04:00:00 Houston-New Orleans
Total Points[221.5] < 1.89
0366 03-03 06:30:00 LA Clippers-Oklahoma
Total Points[220.5] < 1.88
0347 03-03 05:00:00 Denver-LA Lakers
Total Points[213.5] < 1.87
0340 03-03 04:00:00 Minnesota-Washington

Total: 500.00

Total odd: 79.08
Min win: 39538.03
Min tax: 7026.85
Max win: 39538.03
Max tax: 7026.85
Max payout: 32511.19
Combination count: 1

Wwngine kwwnye kikapu hakuna tunachokijua
 
Sparta Praha
Dinamo Bucharest
Granada
Midstyland
Hull
Boca juniors
St. Pauli
Espanyol
Argentina juniors
Kusiwe na sare hizi mechi
Odds 9.5

Kama vp jitafutie mechi chache weka zigo.....
Mkuu huyu Boca juniors katuchania aisee daah ilikuwa pesa hii
 
Ahsante sana kiongozi binafsi naanza kufuatilia basketball huku football kumeniuaaaa vyakutoshaaaa
 
Sparta Praha
Dinamo Bucharest
Granada
Midstyland
Hull

Boca juniors
St. Pauli
Espanyol
Argentina juniors

Kusiwe na sare hizi mechi
Odds 9.5

Kama vp jitafutie mechi chache weka zigo.....

7 katika 9 zimetoa.... ila kaka Root alionya kwa bucharest..... haina mbaya.... napunguza idadi mpaka mechi7...sifiki tena 9.... ikikataaa tena nashuka mpaka 5.... point 4 haukosi....
 
Geneous wa betting katika ubora wako ila kuna hii German na Bundesliga 1 mtoto wa nzi embu uwe unachambua ile option ya 2-6 zinatoka sana nitaanza namimi kuweka mikeka hapa tuone tunasaidiana vipi aisee
 
poa poa mkuu....
 
7 katika 9 zimetoa.... ila kaka Root alionya kwa bucharest..... haina mbaya.... napunguza idadi mpaka mechi7...sifiki tena 9.... ikikataaa tena nashuka mpaka 5.... point 4 haukosi....
Timu zisizidi 6, timu kama ipo ugenini uwe unaimini sn ndio unaiweka
 
Back
Top Bottom