Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

umeona eenh but me I'm trying to resolve the dispute though am a daily loser

Hii hauwezi itatua labda tumuote mod awapumzishe kidogo maana itakuwa kero
Mwenzako akishinda na kuweka hapa furahia maana kampiga adui
 
nakupiga kwa maneno mpaka unaugua.... nyambaf.... unafikili kuzaliwa "KIUME NDIO UWE MWANAUME"....lete tuzi turarue linda ...... Ushaambiwa bet whta you afford to loose ....manina .... unachezea pesa ya ada .... kaliwe tigo manina hautofanya UE....
Ngoja niachane na ww tunaonekana wote wapumbavu kwaajili yako, endelea kuimba taarabu uwanja ni wako
 
Hii hauwezi itatua labda tumuote mod awapumzishe kidogo maana itakuwa kero
Mwenzako akishinda na kuweka hapa furahia maana kampiga adui
Yeah Au hao jamaa watumiane namba afu wakutane wazichape
 
Yeah Au hao jamaa watumiane namba afu wakutane wazichape

namtia upepo tu....... anaelekea kujaa kama pulizo..... atakuwa wa duara soooon...... mazinguzi tu..... ukiwa mvuvi usiogope shombo.... ndukiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii..... nisamehe bure kamanda..... Kichuna......
 
Muhindi anafurahi mkigombana.....
mgomvi wangu mkuuu ni yeyote mwenye kampuni ya kubet..... huyu raia namzogoa tu..... anaweza kuwa dogo braza faza , namjaza upepo tu.... si unajua ukibet umepanic unavyotikiswaaaaa...... ngoja nimpanikishe wamtikise kwanza ...... ndukiiiiiiiiiii
 
Ww boya tu mm sijai upepo kibwegebwege ila nimekuchana tabia yako ya kijinga acha alafu usiniite dogo kuwa na adabu
 
Wazungu walitutawala kwa divide and rule method
Muhindi na Mzungu wa betting anataka kututawala kwa kututumikisha kila siku kupitia mawakala wake humu ndani wanatuzingua ili tuwe vitu tofauti
Ugomvi wetu ni betting companies tuwe kitu kimoja tufurahi pale tunapompiga tukishindwa kumpiga tujiulize kwanini tumeshindwa
 
middlesborough v wolves 12 (1.23)
forest green v grimsby 12 (1.26)
KAA Gent v odd leuven 1 (1.35)
Roma v Fiorentina 12 (1.29)
Bastia C.A v colmar 12 (1.27)
wisla cracow v piast gliwice 12 (1.27)
fc Nurnberg v fc kaiserslautern 12 (1.28)

odds 5.5....... unaye muona atakupa ukimwi muache,
ukiweza waangalie le havre na nimes
 
Ww boya tu mm sijai upepo kibwegebwege ila nimekuchana tabia yako ya kijinga acha alafu usiniite dogo kuwa na adabu
huku kwetu hatuna duka linalouza adabu........ wewe endelea kujipanikisha....uliwe mpaka ukome.....
 
Now your talking my Language.....
 
Imekaa vizuri sana hii
Mi namtoa Roma
Nampa Gent win
 
Ww boya tu mm sijai upepo kibwegebwege ila nimekuchana tabia yako ya kijinga acha alafu usiniite dogo kuwa na adabu
ndio maana nakwambia hujitambui ....nimesema unaweza kuwa aidha dogo , braza ama faza....sasa hata hili kulielewa ni shida eti, aseeeeee kumbe ndio maana hata kupiga kura kwa kunyoosha vidole bado kura zinaharibika aseeeee
 
Nimekwambia endelea kuchonga ukichoka utaacha, sasa mm sio dogo wala faza wala braza mm ni babu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…