Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
shida iko wapi sasa ukiwa ni mbabu...... kumbe mababu wote wanalingana..... hata JAJI WARIOBA NI BABU LAKINI NI DOGO KWA KINGUNGE NGOMBARE MWIRU..... UNAWEZA KUWA BABU NA UKAWA DOGO ..... hii ni tution ya bure usilipieNimekwambia endelea kuchonga ukichoka utaacha, sasa mm sio dogo wala faza wala braza mm ni babu kabisa
Ukisubmit mkeka wanakupa reference number na business number yao... Then unaenda kwenye m pesa unalipaNaombeni msaada jinsi ya kuwalipa M-BET kwa njia ya M-PESA.
Mbona hii haijanitoka mda sasahawa meridian kama wameshindwa biashara ni bora waache,kila siku ni internal server error yani hadi kero
hawa meridian kama wameshindwa biashara ni bora waache,kila siku ni internal server error yani hadi kero
hawa meridian kama wameshindwa biashara ni bora waache,kila siku ni internal server error yani hadi kero
Hebu punguza timu weka 500kMonaco
Djon
Middle
Gent
Sparta
All the best
[emoji4] [emoji35] [emoji35] [emoji34] meridian kazingua siku hizi sana.Hebu punguza timu weka 500k
Meridian watu tumemhama zamani sana najua anapita humu
merdian biashara ya online umewashinda... wanazingua sana kama haujabet leo kesho uwezi kubet sababu ya mtandao wao ni wa ovyo sana..[emoji4] [emoji35] [emoji35] [emoji34] meridian kazingua siku hizi sana.
Yani sipati huduma za uhakika inatia sana hasira. By the way Niko mkuu ntalifanyia kazi neno lako
Wamekuwa hovyo kabisa[emoji35]merdian biashara ya online umewashinda... wanazingua sana kama haujabet leo kesho uwezi kubet sababu ya mtandao wao ni wa ovyo sana..
nipe timu mkuu upepo wako mzuriHebu punguza timu weka 500k
Meridian watu tumemhama zamani sana najua anapita humu
net.customware.gwt.dispatch.shared.secure.InvalidSessionExceptionweka huo mkeka tuukodoe broh
Meridian sucks wanaboa sananet.customware.gwt.dispatch.shared.secure.InvalidSessionException