Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Meridian nimewahama rasmi nimeahamia mkeka bet sehemu unayoweza kubet mda wowote
 
Hiyo mkeka unatumia line zote na unadeposite vipi?
DEPOSIT
Unaweza kuweka pesa yako katika akaunti ya MKEKABET kwa njia ya M-Pesa. Ili kuweka pesa utafata hatua zifuatazo:
Hakikisha una kiwango cha kutosha katika akaunti yako ya M-pesa. Kisha piga *150 * 00 # ili kupata menu ya M-pesa
Chagua namba 4 - lipa kwa M-pesa
Weka namba ya kampuni - 238844
Weka namba ya kumbukumbu ya malipo - 123458
Weka kiasi cha pesa unachotaka kuweka (kiwango cha chini kuweka ni Tsz 250)
Weka namba yako ya siri
Kisha bonyeza 1 kuthibitisha
Ndani muda mfupi utapokea ujumbe kutoka MKEKABET kuthibitisha kuwa umeweka pesa. baada ya hapo unaweza log in na kuanza kubashiri!
KUTOA PESA
Kutoa pesa katika akaunti yako ya MKEKABET kwenda M-pesa, Tuma neno W ”kiwango cha pesa” kisha tuma kwenda 15739.
MFANO: unataka kutoa Tzs 2000, tuma neno W 2000 kwenda 15739. zoezi hili linaweza kuchukua takribani dakika 10 kwa mteja kupata
 
Burton
Sheff wed
Derby
Millwall
Wigan
Nothampton
Hearts
Madrid
Psv
Psg
Werder bremen
Bayern
Hapo vipi win hizo.
 
hawa mbet mbona siwasomi mpaka sasa hawajaweka matokeo wala kulipa
 
Swali la mwisho jamani,ukitaka kubet kwa mkeka bet ni lazima uingie ktk website yao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…