Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Braza iko.... 2+ iko..... Wazuriiiiii wapigieeeeee..... Meridian wazembe sana.... Kwa online betting kapoteza wateja wengi kwa mazinguzi ya kwanza Servers zao ziko down, uwekaji na utoaji pesa mgogoro.... Ya nini pesa yako ikutese afu tena mara uliwe..... Asante mkekabet.comMkeka bet wana option ya 2±???
merdian wapumbavu sana ni bora waifunge website yao kwa sababu hakuna haja kama wkend ndo kuna game nyingi na ndo siku ya biashara ila wao ndo siku ambayo mtandao uko down nadhani hawako makini wameridhika sana hata maofisini kwao wkend mtandao uwa unasumbua na ni tatizo la mda sasa..