Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ku
16c913b6e97873e2f5c33a03efca697a.jpg
ukifungua page yao uka click sms betting wanakuletea hizo fixture na odds mkuu. Sijui baada ya hapo inakuwaje ila kwa msaada zaidi wasiliana nao namba yao hii 0758606197
A hizo code column ya kwanza kabisa... Unatuma code ya mechi na code ya matokeo unayotabiri (matokeo code zake ni row ya kwanza kabisa)
 
Nimeweka mkeka nashindwa kuaplod hapa daaa ila kiufupi timu hizi hapa
Wolfsburg vs mgladbach

Augsburg vs leverkusen

Dortmund vs bayern munich

Werder vs Hannover

E Frankfurt vs ingolstand
Zote nimezipa total goals kuanzia mbili hadi tano 2-5 ushauri wadau ninataka nimalize mtaji leo kwa 100k
Dortmund wanatabia ya kujihami watoe,ni bora ukawaweka Chelsea vs Stoke au hata Genk naamini Samatta hatokuangusha.
 
Southampton Win
Chelsea Win
Swansea Win
Sheff Wed Win
Elche Win

Leo hakuna timu za uhakika hasikudanganye mtu akili za kwambiwa changanya na zakwako
 
Soon na Mimi natimka meridian maana hawapo siriax na kaz

matak# kabisa hawa Meridian yaani website yao ni ya kichoko sana manina zao, wasipojirekebisha watapoteza wateja wengi sana" naomba mwenye mawasiliano yao aniwekee hapa.
 
Ngoja leo nijaribu shabaha katika soka,

Makorokocho jazz band.

makorokocho.PNG
 
Mamaaaaeeeeee..... Everton karudishwa.. Chelsea karudishwa... Soton kanyooshwa..... Yelewiiiiiii...... Naomba niwape dedikesheni nyimbo ya mheshimiwa Tema Amekoma iwafikie popote mlipo
 
Back
Top Bottom