Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hapa PSG peke yake hajapata Goli mamamaeeeee dah! Wengine woteee wametoa
Chelsea Win
Pars Saint Germain Win
Real Madrid Win
Everton Win
Man City Win
Lecester City Win

Njia nyingine ambayo Naona lazima itoke hizo timu zibetie zipate goli tu Lazima zitapata
 
valencia v atl. madrid 12 (1.33)
gijon v bilbao 12 (1.28)
atalanta v juventus 12 (1.23)
crystal palace v liverpool 12 (1.29)
westbrom v man utd 12 (1.3)
willem II v ajax 12 (1.23)
mainz v darmstadt 12 (1.26)

odds 4.31

nauwaza huuu mtoko wa kesho..... kama kuisha niishe kabisaaa kama sabuni
Mkuu mbona unajinyima hela za bure?juve mpe win so as mains na ajax
 
Chelsea siku alipofungwa na crystal palace darajani

Alininyima laki 5.40 since that day ..nilimuwekea vikwazo...kama USA na Northern korea wanavyofanyiana....kwa sasa hivi huwa sina presure
 
Chelsea siku alipofungwa na crystal palace darajani

Alininyima laki 5.40 since that day ..nilimuwekea vikwazo...kama USA na Northern korea wanavyofanyiana....kwa sasa hivi huwa sina presure

Mi vikwazo vya kiuchumi nimemuwekea Roma Galatasaray Psg man utd(timu yangu) Chelsea
 
Nilijiuliza mara nyingine tena baada ya Cagliari peke yake akichana mkeka wangu wa asubuhi kabisa wakati Wolfsburg,Stuttgart,Bremen,Perugia na Novara wakicheka na nyavu.Nikaumia sana.Nikajiuliza tena Psg kachana,nikaja kurusha ngumi ya mwisho gizani hapo nikampata japo kiduchu kimilinda mtaji wangu.

In advance niseme,upepo wa saizi kaeni sana mbali na home odds zifuatazo kwa kuzipa win 1.41,146,1.62,
 
Nimejikuta nacheka...maana odds ya 1.41 au 1.5 ni ngumu kutoka huwa ni draw au wa nyumbani kupigwa kipigo cha mbwa mwizi

Jana nilikwepa viunzi vingi ila wapi leverkusen alichonifanyia sina hamu naye sawa na rsenal kufungwa na swansea nyumbani kwake
 
Back
Top Bottom