Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Gwela2003,dhana ya odds na matokeo inafanya sana kazi,namkumbuka sana "matee" na home odd ya 1.89 na away odd 2.01 ambazo zilikuwaga ni win tu,siku hizi kama hiyo 2.01 ni draw kwa kwenda mbele.
 
Mimi Jecha Salum Jecha natangaza rasmi kuwa matokeo ya mechi ya CHELSEA yamefutwa,kwani mechi ilijaa hujuma lukuki mpaka tume imeridhika na uamuzi wa kuyafuta.

Hivyo akina ROOT mnaruhusiwa kurejesha upya mapenzi yenu kwa CHELSEA.Na mtarejeshewa stake zenu.
 
PSG mbona mara nyingi hawazingui?
Psg sijamcheza huu msimu wa3 sijawahi kumcheza.... Psg nilimpa vikwazo pamoja na timu moja Kasimpasa Huracan Santos na recreativo huelva(ilikua segunda Spain) imeshuka zaidi.... Hapa kila timu ilininyima pesa ndefu sana... Mfano hawa recreativo huelva walibaki wao nipige13M anaongoza 3-0 half time.... Afu mfukoni nlikua na kama laki 3 flani...... Nkaenda kubutua walikuja ngwasuma villa Park..... najua asubuhi naamka na 13M.... Mamaaaaeeeeee kasawizishiwa 3-3.... Nilifuta kabisa.... PSG hivyo hivyo.... Kasimpasa..... Nilidelete kabisa.... Hata wacheze na nani siwapi.....
 
Jamani naombeni msaada namna ya kubet any timu win au both team to score
 
Nimeingia mkeka bet nataka niweke any team win au both team to score nashindwa
Hizo hapo.... Double chance ndio hiyo 12 any team win.... Halafu hiyo ya both team to score ipo chini ya half time full time.... Natumaini umensoma.... Kazi njeam
 

Attachments

  • Screenshot_2016-03-06-08-14-30.png
    Screenshot_2016-03-06-08-14-30.png
    25.2 KB · Views: 41
  • Screenshot_2016-03-06-08-14-38.png
    Screenshot_2016-03-06-08-14-38.png
    17 KB · Views: 39
Psg sijamcheza huu msimu wa3 sijawahi kumcheza.... Psg nilimpa vikwazo pamoja na timu moja Kasimpasa Huracan Santos na recreativo huelva(ilikua segunda Spain) imeshuka zaidi.... Hapa kila timu ilininyima pesa ndefu sana... Mfano hawa recreativo huelva walibaki wao nipige13M anaongoza 3-0 half time.... Afu mfukoni nlikua na kama laki 3 flani...... Nkaenda kubutua walikuja ngwasuma villa Park..... najua asubuhi naamka na 13M.... Mamaaaaeeeeee kasawizishiwa 3-3.... Nilifuta kabisa.... PSG hivyo hivyo.... Kasimpasa..... Nilidelete kabisa.... Hata wacheze na nani siwapi.....
hahaaa, 13m??
mimi nilishakosaga $2,235 kisa Barcelona tu alifungwa iliniuma kichz
 
Leo twende hivi hautajuta kuweka hela yako

Celtic win
Basel win
Juventus win
Barcelona win
Shaktar Donetsk win
Plzen win
Dinamo Zagreb win
Paok win
Az Alkamaar win
Ajax win
Feryenood win
 
Meridian nimewahama rasmi nimeahamia mkeka bet sehemu unayoweza kubet mda wowote
mkuu kujiunga nafuata maelekezo ila kuna sehemu imeandikwa namba ya kumbukumbu ya malipo , unaingiza namba gani pale??
 
Toa paok weka inter mkuu kama una wasiwasi nao au weka
Real sociedad win
Inter win
Atletico Madrid win
 
REAL G.Bussiness number ya MKEKA BET ni 238844 na Reference number yake ni 123458 fuata hivyo kwa kuweka kiasi kisichopungua 1000.Watakutumia sms ya kuwa akaunti yako ya MKEKA BET imeongezwa kiasi x na then watakupa password yako
 
Leo twende hivi hautajuta kuweka hela yako

Celtic win
Basel win
Juventus win
Barcelona win
Shaktar Donetsk win
Plzen win
Dinamo Zagreb win
Paok win
Az Alkamaar win
Ajax win
Feryenood win
hapa mi natoka hivi

Juventus win
Barcelona win
Shaktat win
Dinamo win
Ajax win
Plezen win
Feryenood win
 
Kia
REAL G.Bussiness number ya MKEKA BET ni 238844 na Reference number yake ni 123458 fuata hivyo kwa kuweka kiasi kisichopungua 1000.Watakutumia sms ya kuwa akaunti yako ya MKEKA BET imeongezwa kiasi x na then watakupa password yako

Kiasi cha chini kutumwa ni 250....kubet 100
 
ALL TO WIN TODAY:

mainz 05
juventus
az alkmaar
barcelona
dinamo zagreb
rijeeka
sparta prague
victoria plizen
besiktas
shakhtar donetski
 
Young boys over.,ufa under.,sion win
@heidenmen x2,trabzons lose, torino over
@alaves over,marseille under,gaziantep 1x
 
Naona kwa leo hiwe hivi mnashauri vipi:-
Eibar vs Barcelona=Barcelona-Wins
Inter vs Palermo= Inter-Wins
WestBrom vs Man U= Man U-Wins
Atalanta vs Juventus= Juve-Wins
Unaweka 5000 kwa 31,000/=
 
Back
Top Bottom