Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sasa na mm inabid niende likizo maan yapata miez mine xaxa cjawah kumla mzungu wala muhindi, yana kila cku Tim moja, IMETOSHA!!!
 
Pole sana,mwenzako nimempiga Mhindi na timu zangu saba(Arsenal, Blackburn, Bristol rovers,Wolves,Grimsby,Real Madrid, VFL Wolfsburg).Usikate tamaa.
Sasa na mm inabid niende likizo maan yapata miez mine xaxa cjawah kumla mzungu wala muhindi, yana kila cku Tim moja, IMETOSHA!!!
 
Hyo Midlles wenu kawa msenge Jana Kwan kanichania mkeka wangu nimekosa Elfu sitini kisa yeye
Salute kwa Full ham,Wolfsburg,r.Madrid na Arsenal
Leo sasa
psg
Benifica
Nantes
Marseille
all to Win au vipi wakuu
 
Hapo kwa PSG hapaeleweki,kila nikipiga ramli naona giza tu mbele.
Hyo Midlles wenu kawa ****** Jana Kwan kanichania mkeka wangu nimekosa Elfu sitini kisa yeye
Salute kwa Full ham,Wolfsburg,r.Madrid na Arsenal
Leo sasa
psg
Benifica
Nantes
Marseille
all to Win au vipi wakuu
 
Makanya psg, na benifica kushinda leo ndugu yangu ni ngum sana jaribu option nyingine
 
Kutokana na mapenzi binafsi na chels leo nitampa....hata nikiliwa pouwa ila nita risk..hapa natafuta team 2 ili ziwe 3 jumla...leo naweka 10,000 maana chelsea na point 2.6
 
Leo selction of the day kwangu..ni chelsea..nasubilia team 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…