Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Dnt give up guys, hii ni business kama businesses nyingine, u can't escape risk the whole financial year
 
Hahahahaha! Manure kahribu kila kitu leeds na celtic walikuwa wamentendea vema nilkuwa nasubiri game za baadae ila ndo ivo van girl katibua.

Pole sana mkuu mie wangu sijamweka Man ila nadhanj ushakufa tayari
 
Watu washapotea hapa siwaoni hapa
Leo ninebet 100 tu
 
Duuh yaani huyu Kanjibai huyu.. sijui nani anampatia .. ! . yaani wotee hapa mikeka yenu imechanika .. daaah hatari .. ! .
 
Back
Top Bottom