Aisee man u ataua watu huku kwa presha
Ivo ivo tunajilipua tu unajua big team zikiwa home halafu znacheza na average team mie huwa na uhakika wa ushindi.
Nataka kubeti kwa mpesa nisaidieni inakuwaje
Mkuu pole sana, nilikwambia mkuu
Kuanzia leo, naacha Betting kabsaaaaah,
ila leo kati ya Arsenal au Man u atachana mikeka ya watu kwa Draw
polen jaman frm my experiance mechi za ufunguz cyo za kubet
Kuanzia leo, naacha Betting kabsaaaaah,
Hahahahaha! Manure kahribu kila kitu leeds na celtic walikuwa wamentendea vema nilkuwa nasubiri game za baadae ila ndo ivo van girl katibua.
Pole sana mkuu mie wangu sijamweka Man ila nadhanj ushakufa tayari
Watu washapotea hapa siwaoni hapa
Leo ninebet 100 tu