mkuu unabetije 100? kwa mhindi?
Mie natumia meridian pale kwa mhindi kuchokeshana tu
Watu washapotea hapa siwaoni hapa
Leo ninebet 100 tu
Kuanzia leo, naacha Betting kabsaaaaah,
lazima game 3 kwanza zipite ujue udhaifu wa timu na uimara wa timu, mfano kule russia game 3 zimepita na zenit au c s ka wapo vizuri , unakuwa na uhakika angalau.Ligi yoyote ile duniani(hata kombe la kinesi) ukibet game 3 za kwanza ni kujitafta lawama tu
poa kaka za leo tupeane pia au sioNimekula laki na nusu meridian jana ila kwny vitim vya ajabu nliweka mkeka huo wa kumalizia vichenji huku mategemeo yakiwa kwa wakubwa...matokeo yake ndio umeniokoa nmerudisha mtaji
Huu msimu ni hatare.
Huyu nokia huwa anabahatisha vihela kweli kwelo
Hahaha nadhani nokia huwa anawasiliana na babu manake dah!
Halafu mm huwa nacheza na live pia...kama mtaji mdogo zinakomboa sana
Umeona eeh live inaokoa kidogo kama mimi hapa nimezuia mechi za huko austria zinacheza sahii iko poa sana
Yeah halaf kuanzia saa 4 zinaanza japan
Wazee mbona muhindi leo hajatoa timu mpaka mida hii shida nn