Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yaani wakati chelsea wamepigwa kimoja, nilikua najishauri kuweka mzigo washinde na price ilikua 11/10 nimeunya unya mpaka wamerudi

hizo odds za 11/10 ndio zikoje mzee wa £..
 
Haya leo
Buyern munich
Real madrid
Arsenal
Buyern Leverkuzen
Napoli
Red bull

England Championship za kumwaga na mechi kede wa kede
Another day to make money wazee wenzangu

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Mkeka mzuri ila punguza team, at least ubaki na 4
 
Nimetupia timu tatu

Morecambe
Leeds
Reding

Nimetia 20,000/= imekuja 180,000/
Kwenye normal ya premier betting

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

hivi premier betting mpaka kwenye vibanda, huwezi bet online? naona kama wana odds nzuri, timu tatu tu unapiga 120,000?
 
Haya leo
Buyern munich
Real madrid
Arsenal
Buyern Leverkuzen
Napoli
Red bull

England Championship za kumwaga na mechi kede wa kede
Another day to make money wazee wenzangu

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Arsenal atakuumiza kichwa usimuweke hapo kabisa
 
Wazee yule anayeongoza Championship kule leo VP tumzamini?? Maana kashashinda game mbili in a raw leo anaweza draw
 
Mimi huwa naogopa sana kutoa hela kwa kutumia kigezo cha nafasi
 
Back
Top Bottom