Yaani wakati chelsea wamepigwa kimoja, nilikua najishauri kuweka mzigo washinde na price ilikua 11/10 nimeunya unya mpaka wamerudi
hizo odds za 11/10 ndio zikoje mzee wa £..
yaani mzigo ulikua umefika odds 10 hadi 11 kama angesawazisha na kuongeza
hizo odds za 11/10 ndio zikoje mzee wa £..
Haya leo
Buyern munich
Real madrid
Arsenal
Buyern Leverkuzen
Napoli
Red bull
England Championship za kumwaga na mechi kede wa kede
Another day to make money wazee wenzangu
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Nimetupia timu tatu
Morecambe
Leeds
Reding
Nimetia 20,000/= imekuja 180,000/
Kwenye normal ya premier betting

Wazee yule anayeongoza Championship kule leo VP tumzamini?? Maana kashashinda game mbili in a raw leo anaweza draw
ile ligi ukishaongoza umeongoza tu hadi unapanda daraja, inabidi tumdhamini tu
Mimi huwa naogopa sana kutoa hela kwa kutumia kigezo cha nafasi
nimedeposit hela toka juzi hadi sasa kimya nawapigia hata hawapokei,***** zao