Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tip:Jaman kuweka matimu mengi na stake ndogo ukitegemea kula pesa ndefu kila siku utabak dah katimu kamoja kameniharibia so nmejifunza ni bora kua na stake ya maana weka timu mwisho tatu zenye posibility kubwa unaeza ukawa unapiga pesa ,, mtazamo tu wadau ,, VITA DHIDI YA MHINDI
 
ni kweli mkuu
 
Wa kusoma
Hongera aiseee
Uwe waweka kitu sahihi kama ulivyoweka kule.
Huwa naweka kaka, sema huwa nikiweka watu wananiambia eti niprove lkn nishasema sio lazima ule kila siku lkn unaweza kuliwa kila siku.

Unakuta mtu ana mtaji wa buku mbili anawaza kumpiga mhindi laki sita kwa hiyo ukimpa bet ya pointi tano hakuelewi kabisa matokeo yake analiwa kila siku
 
Wakuu nataka nimtabilie Leicester city kuchukua ubigwa naona meridian wamempa odds 51 kama atachukua ubigwa hapo ukiweka 50 unapata million 2.5, vipi mnasemaje kuhusu Leicester wakuu
 
Wakuu nataka nimtabilie Leicester city kuchukua ubigwa naona meridian wamempa odds 51 kama atachukua ubigwa hapo ukiweka 50 unapata million 2.5, vipi mnasemaje kuhusu Leicester wakuu
Hiyo option ipo upande gani? Mwenyewe naweka
 
Wakuu nataka nimtabilie Leicester city kuchukua ubigwa naona meridian wamempa odds 51 kama atachukua ubigwa hapo ukiweka 50 unapata million 2.5, vipi mnasemaje kuhusu Leicester wakuu
nipe ufafanuzi zaid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…