Rizerspor 1xNajaribu hivi leo wadau;
1. Maccabi
2. Zamaleck
3. Rizespor
4. Beiter
5. Fc Porto
AuNajaribu hivi leo wadau;
1. Maccabi
2. Zamaleck
3. Rizespor
4. Beiter
5. Fc Porto
Hivi jamaa bado ana odd kubwa namna hiyo!
Hebu angalia tena mkuu, mimi kwangu inaonyesha 1.3
hiyo odd ilikuepo saa ngap ???sahav naona n 23
2&3+ maana ake nn???Besiktas 2&3+
Atl.bilbao 45 minutes draw
Red star fc 45 mins draw
Bari I1*1
Freiburg 2x
Levante 1x
Mpaka sasa ipo, ingia meridian kwenye Sport Special utaikutahi
hiyo odd ilikuepo saa ngap ???sahav naona n 23
Besiktas ashinde na mechi itoe magoli 3 mkuu2&3+ maana ake nn???
uxhnd kwa freiburg c n nje nje
yakizid n bet lost???Besiktas ashinde na mechi itoe magoli 3 mkuu
Merdnian wanacheza na akili za raia wanajua wapo watakao kurupuka kubet bila kuangalia ni msimu upiHiyo ni ya msimu ujao ndugu, msimu tulionao ni wa 2015/2016.
Na nina uhakika next year hata top 4 hataingia.
Wa kusoma tunakuhitaji huku SAA 12 inakaribia mech zianze nimechoka kuliwa nimeandaa Li fifty.Nakuja
Mh! Mm uefa leo sicheziBayern Win
Barca Win
Madrid Wi
Psg Win
Odds 4:33
Maoni yenu wadau yupi una wasi wasi nae kabla sija submit
Nakukopi. Naweka magolibeskitas
sporting cp
fc porto
freiburg
all to win