Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Inakupa odd ngapi?
 
Inakupa odd ngapi?
Huwa zinarange 6-12 maana baadhi ya mechi unakuta iko na 1.02 na nyingine zipo ambazo unaiona kabisa goli 5 hazifiki na imepewa 1.25 so unaiweka tu ila mostly huwa nachagua zenye 1.05 ili niwe kwenye safe side zaidi.
 
Kibiashara hizo mechi ni nyingi sana.
 
Huwa zinarange 6-12 maana baadhi ya mechi unakuta iko na 1.02 na nyingine zipo ambazo unaiona kabisa goli 5 hazifiki na imepewa 1.25 so unaiweka tu ila mostly huwa nachagua zenye 1.05 ili niwe kwenye safe side zaidi.

Izo odd hapana asee
 
Sometime kuja kwny uzi huu naonaga uvivu km vp tukutane wasap.
Ni PM
 
Wazee inachukua muda gani kutumiwa pesa kutoka meridian kuja kwenye mpesa yangu maana tangu Jana nime withdraw kiasi kidogo Ila hadi sasa sijatumiwa hiyo pesa
 
Tractor-Sazi (Irn) -Pakhtakor (Uzb)
Chagua pakhtakor win (odd 5)
Nimeshindwa betia hii game coz meridian wamenicheleweshea pesa Ila ni 80% possibilitypossibility
Good luck
 
Reactions: PNC

mkuu kweli odd kenye betting zisizidi 2 zikizidi hapo jua probability ya kula ni ndogo.pia mkuu kama unacheza ligi ya NBA kwa vile match 1 huwa ina odd ya kuanzia 1.8-1.9 kama unataka kupunguza risk na kutokuwa na tamaa unaweza ukawa unacheza kwa kutumia ile mbinu ya mult-bet yaani ukicheza timu 2 atleast 1 ikiwini unakuwa ume refund yako kiasi na ikitokea umekula basi unakuwa unanufaika kdgo.mfano match za leo usiku NBA

-371844152 Standard account
------------------------------------------
[1/2]
1760 07-04 05:30:00 LA Lakers-LA Clippers
Total Points[204.5] > 1.89
1756 07-04 02:30:00 Boston-New Orleans
Total Points[208.5] > 1.89
------------------------------------------
Total: 50000.00
------------------------------------------
Total odd: 1.89
Min payout: 47250.00
Max win: 94500.00
Max tax: 8010.00
Max payout: 86490.00
Combination count: 2
------------------------------------------
06-04 18:16:34
hapo ikitiki moja utakuwa umepata hasara ya Tshs 2850,na mkeka ukitiki utakuwa na faida ya Ths 36,490
 
Wolsburg vs madrid...under 3.5
Psg vs man city ....under 3.5
Total odd....2.16
 
Tractor-Sazi (Irn) -Pakhtakor (Uzb)
Chagua pakhtakor win (odd 5)
Nimeshindwa betia hii game coz meridian wamenicheleweshea pesa Ila ni 80% possibilitypossibility
Good luck
Ligi ya nchi gani hii mkuu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…