Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

1153860410380 Standard account
------------------------------------------
[1/2]
0657 06-04 21:45:00 P S G-Man City
First Goal time 28+ 2.20
0668 06-04 21:45:00 Wolfsburg-Real Madrid
First Goal time 28+ 2.51
------------------------------------------
Total: 200000.00
------------------------------------------
Total odd: 2.36
Min win: 220000.00
Min tax: 3600.00
Min payout: 216400.00
Max win: 471000.00
Max tax: 48780.00
Max payout: 422220.00
Combination count: 2
------------------------------------------
06-04 19:32:32
 

Mkuu mimi ushauri wangu ni mmoja tuu. Tumia BET365, hawa jamaa nawakubali sana hususan kwetu huku katika kikapu wanaweka live matches nyingi sana. Kitu ambacho huwezi kosa moja ya kujilipua nayo. Pia kuna haka kaoption ka kucashout ambako huwa kananisave sana mara nyingi.

Karibu mkuu. Mimi sasa hivi najihusisha sanasana na Basketball live games. Soka nimejiona sina bahati nayo. Kampuni ninayotumia ni BET365. Hawana figisuza network kama wakina meridian. Kitu lainiii kama unanawa. Karibu tena mkuu kilingeni.
 
Nimedeposit supabet kwa kutumia M pesa, then nikawapigia na kutuma text kuwajulisha kama nimetuma pesa. SAA la 3 mpaka sasa sijaona Salio langu. Walichofanya ni kunitumia serial namba zao na pin bila maelezo yyte. Hata sijui ni za nini?
 
Nimedeposit supabet kwa kutumia M pesa, then nikawapigia na kutuma text kuwajulisha kama nimetuma pesa. SAA la 3 mpaka sasa sijaona Salio langu. Walichofanya ni kunitumia serial namba zao na pin bila maelezo yyte. Hata sijui ni za nini?

Ingia kwenye account yako, chagua deposit kisha utaona nafasi za kuingiza hiyo pin na serial number. Ukimaliza salio linaingizwa papo hapo.
 
Mfano nilikuwa busy siku ya leo. Ni saa hii nimeingia bet365 na kukuta hii game ya wanawake ikiwa half time. margin ya O/U ilikuwa ni 156.5 mimi ikabet under. Nikatia USD 20. nikawa naifuatilia game inavyokwenda.

baada ya kuweka mzigo mpaka zikiwa zimebaki dakika 4 nilikuwa na uwezo wa kucash out dola 25 kama inavyoonekana hapa chini, yaani kama ningecash out nigepata faida dola 5. Ila nikasema subiri.




Baada ya kusubiri, zikiwa zimebakia dakika 6 quota ya 4, nilikuwa na uwezo wa kucash out USD 34 wakati huo margin ikiwa ni OU 140.5. kutokana na trend ya game nikaona hii wanaweza kwenda OT na mwisho ikawa over. so nikaamua kucash out na kusamehe hiyo dola 2 ambayo ningeipata kama ningesubiri mpaka mwisho na game kweli kuisha kama ningebashiri




na hivi ndivyo mwishoni tiketi ilivyosoma.



CC : Raimudo. Fuata trend hii, Naamii hutojutia. Hususani kwa madau makubwa inalipa sana. Hiyo 2M kwa mwezi itakuwa kama maji.
 

Attachments

  • wp_ss_20160406_0007 (2).png
    18.9 KB · Views: 71


Complex, nimeipenda sn hii ...
Nina maswali kidogo hapa km hutajali.

i. Currency inayotumia kudeposit/kuwithdraw ni USD? au unatumia TZS km kawaida na system yao inaconvert automatically?

ii. Kama currency ni USD, unadeposit vipi kutoka kwenye mobile yako kwenda kwenye account ya bet365? maana siyo mara nyingi sn tunakuwa na access na USD.

Nafahamu maelezo jinsi ya kujiunga yatakuwepo kwenye website/app yao.
 
Elf 20,000 kibindoni
 

Mkuu Bet365 nimeshindwa kufanya second confirmation, nitajaribu tena mkuu.

Maana kibiashara inahusika sana.

Huwa nafanya kufollow-up games tu kule.
 

Nadhani hii itanifaa pia, ngoja niisome niione iko vipi.
 
bet365 is the best betting company in the world,,, una cheki game live huku unABET..... NAIPENDA SANA HII....
 
Wazoefu wa meridian msaada wenu, Jana nimerequest kuwithdraw pesa leo usiku nachek mpesa naona imeshaingia Ila nikijaribu kutoa mpesa naambiwa eti Salio halitoshi. Sasa sijui hii inakuwaje
 
sijui hata ni nini kilinifanya nisimuweke Madrid, dah nilikua nimedhani nimepoteza kumbe sikumuweka, nasubiria mech ya Dortmund na Liverpool mkeka ukamilike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…