Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

355f5dc3fc763fd7f87bff9837cca850.jpg
 
Ukijaribu kuangalia vitabu vya mahesabu vya makampuni mbali mbali unakuta nyingi zina annual return on investment (ROI) ya 15-20%, na hapa tunazungumzia the most profitable ones.

Ina maana gani, kama amewekeza mil 100 anapata faida ya 15-20 mil; sasa sisi biashara yetu humu inakuwa ngumu kwa sababu tunataka matokeo ya haraka sana yaani shilingi ile shilingi au zaidi kwa siku moja, kitu ambacho ni kigumu sana, this time nataka niinvest kwenye muda na subira, odd ikiwa 1.3-1.5 zitanifaa bila shida. Bora nile 1000 kuliko laki moja iliwe na mzungu.
 
Safi sana mkuu ukiwa kimahesabu kama hvo betting utakula sana tatizo watu wanaweka jero akitaka apate mill 4
 
View attachment 335468

Hiko kipengele namba 2 ndo kimeleta shida, kila nikituma document wanaikataa.

Mkuu hiyo ni katika kile kipengele cha Know your customer.? Mbona mimi wakati najiunga sikukumbana na hiyo kadhia.? Mimi nilitumiaga Travelling passport kama supporting document yangu, niliscan coppy nikawatumia. Na ilichukua Siku moja tuu wakanijibu kupitia email na baadae kunipigia Simu wakaniuliza baadhi ya maswali (mengi yalikuwa ni personal kama jina, date of birth nk. ) Sijawahigi watumia bank slip wala financial statements za account yangu.

Kuna nyaraka kama vitambulisho vya uraia n.k niliona wameandika kuwa wanavikubali kama verification documents. So jaribu kuwacheki katika live chat uone watakwambiaje. Kama wakikataa, Tia figisu upate Passport kama hauna. Hii utakuwa verified fasteeeeerrrr.
 
Mi kwangu naona usajili umekamilika, naomba msaada kuhusu kudeposit,
Nna account Nmb Na hawana huduma ya visa. Je,hakuna uwezekano wa kumwamishia mwenzako salio kwenye account za bet365???

Usajili umekamilika, je walikupigia simu wakakuuliza maswali.? Ama ulipata verification email kuwa upo clear.? If yes kweli umekamilika. If no jaribu kuingia live chat uwaulize watakwambia status ya akaunt yako.

Kuhusu kudeposit si kila bank yenye visa/Master card wanasupport direct deposits katika Betting sites. Bank kama CRDB wao wanasupport lakini ni mpaka uende kuwaomba waactivate akaunt na online transactions option. Ni benki chache zinazosupport by default. Unaweza kuta bank inasupport online transaction ila haisupport transactions za betting sites (Mfano ni equity Tsh accounts, hawaa hawasupport, USD hawana Visa/Master). Benki pekee ninayoifahamu inayosupport ni NBC ambao wanasupport since day 1 unapopewa kadi. Hawa hawahitaji uende kuomba online transaction activation wala nini. Na hii ndo naitumiaga mimi kudeposit. Wadau wengine watataja zingine kama wana experience nazo na wanazifahamu.

Kuhusu member Kumpunguzia mtu mwingine pesa hawana hiyo option.
 
Ukijaribu kuangalia vitabu vya mahesabu vya makampuni mbali mbali unakuta nyingi zina annual return on investment (ROI) ya 15-20%, na hapa tunazungumzia the most profitable ones.

Ina maana gani, kama amewekeza mil 100 anapata faida ya 15-20 mil; sasa sisi biashara yetu humu inakuwa ngumu kwa sababu tunataka matokeo ya haraka sana yaani shilingi ile shilingi au zaidi kwa siku moja, kitu ambacho ni kigumu sana, this time nataka niinvest kwenye muda na subira, odd ikiwa 1.3-1.5 zitanifaa bila shida. Bora nile 1000 kuliko laki moja iliwe na mzungu.
Kaka tatizo sio odd mkuu na ukifuata odds utaliwa sanaa.. mbona odds za 2 na 3 zinatoka tu.. inshu kubwa n option. . Je option uliyoichaguaa n sahihiii...??! Ukifuata odds huwez kula kaka...
 
Likizo mbaya sana. Vp kama jana ningebet OVER 1.5 kama kawaida yangu?
Screenshot_2016-04-08-05-45-54.png
 
Kaka tatizo sio odd mkuu na ukifuata odds utaliwa sanaa.. mbona odds za 2 na 3 zinatoka tu.. inshu kubwa n option. . Je option uliyoichaguaa n sahihiii...??! Ukifuata odds huwez kula kaka...

Nakuelewa mkuu, odd kweli siyo tatizo. Lakini kuna tatizo la kulazimisha odd tunapokuwa tunacheza kamari, unakuta unajua game ambayo iko open ina 1.5, sasa unaanza kuhangaika kubahatisha game ya kuongezea ili odd iongezeke.

Sheria ya kwanza ninayotaka kuanza kuiheshimu ni hii ya kutotafuta odd za kuongezea kwenye game ninayoamini iko open.
 
Kama unanisema mimi hahahaa jana zote niliweka 2_4 nikaja kuongeza team moja ya Iceland imenichania
 
Kama anavyosema Raimundo mimi nina tatizo kama lako. Nikiona odds ni ndogo na game ni open badala ya kucheza normal nakuta naweka cap au options nyingine. Juzi kati bayern alikuwa na odds 1.13 nikampa cap kuongeza odds akanichania mkeka. Kwa hili nimejifunza.
 
Mimi nahisi nimeshuka kiwango nilikua nakuna kila wk now napigwa kila wk maajab kisa kuongeza odds
 
Nakuelewa mkuu, odd kweli siyo tatizo. Lakini kuna tatizo la kulazimisha odd tunapokuwa tunacheza kamari, unakuta unajua game ambayo iko open ina 1.5, sasa unaanza kuhangaika kubahatisha game ya kuongezea ili odd iongezeke.

Sheria ya kwanza ninayotaka kuanza kuiheshimu ni hii ya kutotafuta odd za kuongezea kwenye game ninayoamini iko open.
Mkuuu tatizo n mtaji mkuu.. mfano unakuta game ina odds 1.2 na iko open... hapo labda uwe na million moja iliupate laki mbili....
 
Sure, mtaji ni tatizo kubwa na sugu.

Ninajipanga kupambana.
 
Back
Top Bottom