Gifted46
Member
- Jul 17, 2011
- 29
- 16
Kwa stake ya buku ni ngumu
Watu wanakula m15 kwa 500 iweje buku kwa 2m ishindikane.
Kwa stake ya buku ni ngumu
Kwel option siioni au hawatak watu wavute hela zaoOption ya kuwithdraw pesa meridian mbona haipo wadau.Kama kuna mabadiliko ya utaratibu wa kutoa pesa mtu anajua asaidie hapa.
Haswaaaa vpi jaman upepo wa game huko za leo duh huyu herthe berlnWadau tupieni nondo za kesho tuweke leo kabisa maana Meridianbet kesho km kawaida yao mtandao utakuwa cheche !
Mim niliacha kubetia vitimu vidgo vdgo havielewekiHaswaaaa vpi jaman upepo wa game huko za leo duh huyu herthe berln
Hizi timu zinaweza kucheza chini ya kiwango zikielekeza nguvu Uefa.PSG win
Barca win
Atletico win
Bayern win
Kwa mtizamo wangu normal tia shekeli ya kutosha.Wadau advice hapo
Kwa hizi za Spain bado hata ligi wanachuana so wanaweza kaza tuHizi timu zinaweza kucheza chini ya kiwango zikielekeza nguvu Uefa.
Afu kama PSG kombe kama vile keshachukuaHizi timu zinaweza kucheza chini ya kiwango zikielekeza nguvu Uefa.
Awawezi kurisk ubingwa wa ligi jua madrid na atletco zikishinda zinakua zimembakisha barca point 3,4 hivyo barca hawezi kulegeza kwa sababu ya uefa ambayo alipata ushindi home kwaoMaombi psg,barca,atretico,na buyrn achana nazo zina kimeo kikubwa j4j5 pamoja na madrd
Angalia match fitness ya hizo timu zilizocheza jnne&jumatano alafu waone hao ambao hawakucheza siku 7 zilizopita ...jibu ni kuwa mechi za kina Barca...Atletico..Madrid..Bayern&Benfica ni ngumu sana wkeend hiiAwawezi kurisk ubingwa wa ligi jua madrid na atletco zikishinda zinakua zimembakisha barca point 3,4 hivyo barca hawezi kulegeza kwa sababu ya uefa ambayo alipata ushindi home kwao
kwa bayern pia awezi risk coz akifungwa au droo BVB wakashinda wanakua wamembakiza point 2,3 hizi game ni muhimu kwao alafu bayern anaenda kucheza na benfica na wao pia wanacheza kesho wakiwa na tofauti ya point 2 na sporting lisbon hivyo na wao wanakaza pia ili waendelee kuongoza ligi na kuchukua ubingwa
usingalie barca na bayern tu kua wana game ngumu hata Atletco ana game ya muhimu anajua barca anamzidi point 6 tu kwenye ligi
Mara nyingi jaribu kubetia timu zinazo tafuta kitu achana na timu ambazo hazina na cha kupotezaKuna team nyingi jamn
unapoangalia fitness angalia na ubora wa wachezaji wa hizo timu zilizocheza j4 na J5 hizo ratiba wamezizoe kila msimu wanazicheza na wana win hizo game hawa ni wachezaji waliojiandaa kucheza msimu mzima..Angalia match fitness ya hizo timu zilizocheza jnne&jumatano alafu waone hao ambao hawakucheza siku 7 zilizopita ...jibu ni kuwa mechi za kina Barca...Atletico..Madrid..Bayern&Benfica ni ngumu sana wkeend hii
Ukitaka kujua mechi hizo ni ngumu angalia hata Odds walizopewa wkeend hii...kwangu hizo mechi weknd hii ni ngumu....ngoja tucheze magoli 2+unapoangalia fitness angalia na ubora wa wachezaji wa hizo timu zilizocheza j4 na J5 hizo ratiba wamezizoe kila msimu wanazicheza na wana win hizo game hawa ni wachezaji waliojiandaa kucheza msimu mzima..