Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

sijui hata ni nini kilinifanya nisimuweke Madrid, dah nilikua nimedhani nimepoteza kumbe sikumuweka, nasubiria mech ya Dortmund na Liverpool mkeka ukamilike
Hao wanaweza kufungana eti
 
Wazoefu wa meridian msaada wenu, Jana nimerequest kuwithdraw pesa leo usiku nachek mpesa naona imeshaingia Ila nikijaribu kutoa mpesa naambiwa eti Salio halitoshi. Sasa sijui hii inakuwaje
yes mara nyingi inatokea hapo boss kuwa na subira tu
 
Jana walipumzika kama akina wakusoma walisoma. Alamaa za nyakati
 

Kudeposit natumia NBC master card akaunti ya shilingi. Ila BET365 nachezea USD kwani ndo currency niliyoichagua. Maana kule hakuna Tsh ila curreny nyingine kama Euro, GBP n.k zipo., kinachofanyika wakati nadeposit, itafanyika conversion equivalent ya Tsh kwenda USD kutokana na rate ya NBC ya siku hiyo.

Kuwithdraw nawithdraw kupitia njia ya wire tranfer. Kuna akaunt ninayo ya USD (Equity hawana VISA/ Master kwa akaunti za USD) so nawatimia bank details kama Swift code, Acc number, Name nk then within saa 48 pesa inakuwa imedisplay katika akaunti yangu katika mfumo wa USD. No longolongo.
 
Bet won???? Madrid kapgwa before 28 mbna

Hiyo kashinda maana aliweka or. Ni kwamba mechi ya madrid asifungwe mtu kabla ya dk ya 28, au mechi ya mancity goli lisifungwe kabla ya dk ya 28
 
Mkuu Bet365 nimeshindwa kufanya second confirmation, nitajaribu tena mkuu.

Maana kibiashara inahusika sana.

Huwa nafanya kufollow-up games tu kule.

Fanya umalizie registration confirmation. Confirmation ipi imekushinda.? Walikupigia simu.?
 


OK asante sn kwa maelezo, #Complex.
 
Hiyo kashinda maana aliweka or. Ni kwamba mechi ya madrid asifungwe mtu kabla ya dk ya 28, au mechi ya mancity goli lisifungwe kabla ya dk ya 28
Wolfsburg kapata goli dakika ya 19 na yeye kaweka 28+.kashindaje hapo?
 
PLACE YOUR OWN STAKE HERE;

wadi delga sc 1x. (1.08)
lyngby 1x. (1.29)
athletico bilbao 1x. (1.27)
djurgaden win. (1.35)
borussia dortmund win. (1.60)

total odds 3.88.
 
Fanya umalizie registration confirmation. Confirmation ipi imekushinda.? Walikupigia simu.?
Mi kwangu naona usajili umekamilika, naomba msaada kuhusu kudeposit,
Nna account Nmb Na hawana huduma ya visa. Je,hakuna uwezekano wa kumwamishia mwenzako salio kwenye account za bet365???
 
Niligombana sana na Ladbrokes kuhusu verification, walishika stake yangu, nilisumbuana nao hadi wakaifungua
mkuu,ladbrokes wana utaratibu gani kwe kuwithdraw pesa? au ni lazima kwenda kwao moja kwa moja ili kutoa?
 
ATHLETIC CLUB vs SEVILLA (DRAW)
BORUSSIA DORTMUND vs LIVERPOOL (BORRUSIA WIN)
SC BRAGA vs SHAKHTAR DONETSK (DRAW)
VILLARREAL vs SPARTA PRAHA (VILLARREAL WIN)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…