Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

over over over ukipat game 2 au 3 ukawek over unapig pesa
 
Kaka tatizo sio odd mkuu na ukifuata odds utaliwa sanaa.. mbona odds za 2 na 3 zinatoka tu.. inshu kubwa n option. . Je option uliyoichaguaa n sahihiii...??! Ukifuata odds huwez kula kaka...
mkuu..odd zinapangwa kutokana na ubora wa team....odd ndogo ina maana hiyo team ina possibility kubwa ya kushinda
 
Option ya kuwithdraw pesa meridian mbona haipo wadau.Kama kuna mabadiliko ya utaratibu wa kutoa pesa mtu anajua asaidie hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…