Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau tupieni nondo za kesho tuweke leo kabisa maana Meridianbet kesho km kawaida yao mtandao utakuwa cheche !
 
Wadau tupieni nondo za kesho tuweke leo kabisa maana Meridianbet kesho km kawaida yao mtandao utakuwa cheche !
Haswaaaa vpi jaman upepo wa game huko za leo duh huyu herthe berln
 
PSG win
Barca win
Atletico win
Bayern win
Kwa mtizamo wangu normal tia shekeli ya kutosha.Wadau advice hapo
 
Maombi psg,barca,atretico,na buyrn achana nazo zina kimeo kikubwa j4j5 pamoja na madrd
Awawezi kurisk ubingwa wa ligi jua madrid na atletco zikishinda zinakua zimembakisha barca point 3,4 hivyo barca hawezi kulegeza kwa sababu ya uefa ambayo alipata ushindi home kwao

kwa bayern pia awezi risk coz akifungwa au droo BVB wakashinda wanakua wamembakiza point 2,3 hizi game ni muhimu kwao alafu bayern anaenda kucheza na benfica na wao pia wanacheza kesho wakiwa na tofauti ya point 2 na sporting lisbon hivyo na wao wanakaza pia ili waendelee kuongoza ligi na kuchukua ubingwa

usingalie barca na bayern tu kua wana game ngumu hata Atletco ana game ya muhimu anajua barca anamzidi point 6 tu kwenye ligi
 
Angalia match fitness ya hizo timu zilizocheza jnne&jumatano alafu waone hao ambao hawakucheza siku 7 zilizopita ...jibu ni kuwa mechi za kina Barca...Atletico..Madrid..Bayern&Benfica ni ngumu sana wkeend hii
 
unapoangalia fitness angalia na ubora wa wachezaji wa hizo timu zilizocheza j4 na J5 hizo ratiba wamezizoe kila msimu wanazicheza na wana win hizo game hawa ni wachezaji waliojiandaa kucheza msimu mzima..
 
Ukitaka kujua mechi hizo ni ngumu angalia hata Odds walizopewa wkeend hii...kwangu hizo mechi weknd hii ni ngumu....ngoja tucheze magoli 2+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…