odds si tatizi mkuu kuna timu zinapewa hadi odds 3 na zinatoa kampuni za betting wiki hii zimeingiza pesa nyingi sana hivyo watu wanaogopa wanazoziona sure timu hazitoi lazima wawavute kwa odds, acha mawazo ya kwamba timu ikipewa odds ndogo ndo inashinda.. wanajua tu utamweka bayern na barca utachanganya na timu zingine zitakazo haribu mi bora anichanie barca na bayern wanaofukuzia ubingwa kuliko mtu aliyeko nafasi ya 10 Asiye na cha kupotezaUkitaka kujua mechi hizo ni ngumu angalia hata Odds walizopewa wkeend hii...kwangu hizo mechi weknd hii ni ngumu....ngoja tucheze magoli 2+
Kwny cmu haipo ila kwny p.c inAonekana cjui kuna nnOption ya kuwithdraw pesa meridian mbona haipo wadau.Kama kuna mabadiliko ya utaratibu wa kutoa pesa mtu anajua asaidie hapa.
Haifunguki mkuu
mtoe Bayern anawez aka chanaPSG win
Barca win
Atletico win
Bayern win
Kwa mtizamo wangu normal tia shekeli ya kutosha.Wadau advice hapo
time iliyo mfung porto wiki iliyo pita ili kuw na odd ya 15 tuwe makin na shaur hizo gane mchez overodds si tatizi mkuu kuna timu zinapewa hadi odds 3 na zinatoa kampuni za betting wiki hii zimeingiza pesa nyingi sana hivyo watu wanaogopa wanazoziona sure timu hazitoi lazima wawavute kwa odds, acha mawazo ya kwamba timu ikipewa odds ndogo ndo inashinda.. wanajua tu utamweka bayern na barca utachanganya na timu zingine zitakazo haribu mi bora anichanie barca na bayern wanaofukuzia ubingwa kuliko mtu aliyeko nafasi ya 10 Asiye na cha kupoteza
anyway mkuu humu tunashauriana tu maamuzi ya timu ipi uipe tunabaki nayo wenyewe...
Hapo kwa barca na Bayern lazima mmoja akusaidie kuchana mkekaLeo twende hivi
Sporting cp win
PSV win
Ajax win
Benfica win
Derby win
St Etienne win
Middlesbrough win
Bayern win
Barcelona win
Real Madrid win
HNK Rijeka win
Weka mzigo hapo 95% ushindi
Kaka umetoa sababu za msingi sana, kama mtu unakuwa na mzigo unatia kwa Barca, Bayern, Atletico double chance, Chelsea double chance.unapoangalia fitness angalia na ubora wa wachezaji wa hizo timu zilizocheza j4 na J5 hizo ratiba wamezizoe kila msimu wanazicheza na wana win hizo game hawa ni wachezaji waliojiandaa kucheza msimu mzima..
Mkuu mi ile double chance sijaielewa inakuaje nisaidie kwanzaKaka umetoa sababu za msingi sana, kama mtu unakuwa na mzigo unatia kwa Barca, Bayern, Atletico double chance, Chelsea double chance.
Double chance means team ishinde au isuluhu yaani una uhakika hiyo timu haitapoteza mchezoMkuu mi ile double chance sijaielewa inakuaje nisaidie kwanza
Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
Dah hiyo nzuriDouble chance means team ishinde au isuluhu yaani una uhakika hiyo timu haitapoteza mchezo
m nimempa 3+Kumamoto 1-2 Renofa Yamaguchi
09.04.2016 07:00
2nd Half - 50
Huyu KUMAMATO anaenda kuharibu mkeka wangu
Duh! Muwage mnaangalia na timu za kubet KUMAMOTO kweli unampa ashindeKumamoto 1-2 Renofa Yamaguchi
09.04.2016 07:00
2nd Half - 50
Huyu KUMAMATO anaenda kuharibu mkeka wangu
Nitakufuata baadae kwa sasa naanza hiviLeo twende hivi
Sporting cp win
PSV win
Ajax win
Benfica win
Derby win
St Etienne win
Middlesbrough win
Bayern win
Barcelona win
Real Madrid win
HNK Rijeka win
Weka mzigo hapo 95% ushindi
Kwa mfano leo watu wanaogopa odds ya barcelona na bayern eti wamepewa nyingi wamezoea kuona wakipewa 1.14 sometimes watu wa betting wanacheza na akili zetu..JAMANI ODDS NDOGO NI MZIGO WA DHAMBI,NI UDANGANYIFU KAMA UDANGANYIFU MWINGINE
MFANO JANA FLORA TILLA ALIPEWA 1.18 KUSHINDA ILA KASULUHU...
INA MAANA KWA ODDS ALIZOPEWA ALISTAHILI KUSHINDA 4+...
NI KUTOKUOGOPA ODDS KWA SASA...
BETTING INA VITU VIWILI
1.HISIA
2.UHALISIA...