Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Majina hufanana ndugu vip jina n tatzo kwam hakna majina yanayo fanana usiwe mgen kuwa mwelewa
 
Majina hufanana ndugu vip jina n tatzo kwam hakna majina yanayo fanana usiwe mgen kuwa mwelewa
Jamaa toka mwaka 2000 anatumia hilo jina we nimeona umeanza kulitumia 2015 unamjua sana, alafu unadai humjui.. Tafuta utambulisho wako wewe kama wewe mkuu kuigana majina ni kubaya linaweza kutokea la kutoa ikawa dhahama..
 
Kwa taarifa yenu ni kwamba away odd 1.51,1.95 na 2.07 huwa ni ya ushindi kwa zaidi ya 90%,so leo Barca,Arsenal na Beryen wanashinda
 
Muachage kuiba majina ya watu aisee
Dunia ya leo unaweza kuja mbele za watu na kulala mika umeibiwa jina .majina hufaban ndugu mbona unalud anlogy jamma angu ingekua pesa ungeniua ,daa jina tuuu kwer.majina hufanana bwana
 
Jamaa toka mwaka 2000 anatumia hilo jina we nimeona umeanza kulitumia 2015 unamjua sana, alafu unadai humjui.. Tafuta utambulisho wako wewe kama wewe mkuu kuigana majina ni kubaya linaweza kutokea la kutoa ikawa dhahama..
Sasa unataka kunilazimisha namjua wakati sijui mbona unakua mbulula kias hicho hivi akina fred dunia hiu ni wangapi .na wakina john,diamond jitambue bas jamaa angu majina mbona hufanana me unayemsema wala simjui
 
mbona unakua mkali jama we jina umeiga kubali ukatae tafuta utambulisho wako si kuiga kwa mtu jamaa maarufu sana huyo kwenye mitandao ya kijamii usijifanye humjui unamjua sana tu
 
Daa we jamaa mgumu kuelewa sasi nenda au mwambie aende polis basi nashangaa unakomaa na jina me unajua lina uhusiano gan na mm alaf unasema unanifaham haya nambie naish wap ustke kujifanya kujua vitu usivyo vijua tz hii ni kubwa sana sawa huwez lazmisha kua jina fulan ni la fulan tuuuu wakat mimi hata hunifaham ,unakomalia jambo usilo lijua bora hata ungekua unanifahau hata kwa sura tu
 
Nilivyojilipua Leo yaani mabomu yakilopuka nakuwa milionea
 
Back
Top Bottom