hero de mmar
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 470
- 108
Sorry nilikuwa namaanisha 1.5Sio kweli, over 0.5 maana yake kusiwe na matokeo ya 0-0 tu...lipatikane goli hata moja.
Under 0.5 maana yake matokeo yawe draw ya 0-0.
Sorry nilikuwa namaanisha 1.5Sio kweli, over 0.5 maana yake kusiwe na matokeo ya 0-0 tu...lipatikane goli hata moja.
Under 0.5 maana yake matokeo yawe draw ya 0-0.
Tuko pamoja mkuu tumetofautiana kwaNiombeeni
Arsenal
Anataka kuchana mkeka mapemaArsenal
Mi tayari nishafunga hesabu hapa naandaa tu fungu la kumi keshoWakusoma mkeka unaenda vizuri naona bado bayern
Bet wonView attachment 335973
Nitakufuata baadae kwa sasa naanza hivi
AsanteWakusoma Leo kuna mbinu nimejifunza kwako. Leo kuna mbinu nimejifunza maana juzi na jana mtaji ulikata nimepata mbinu kaka