Jamaa toka mwaka 2000 anatumia hilo jina we nimeona umeanza kulitumia 2015 unamjua sana, alafu unadai humjui.. Tafuta utambulisho wako wewe kama wewe mkuu kuigana majina ni kubaya linaweza kutokea la kutoa ikawa dhahama..Majina hufanana ndugu vip jina n tatzo kwam hakna majina yanayo fanana usiwe mgen kuwa mwelewa
Dunia ya leo unaweza kuja mbele za watu na kulala mika umeibiwa jina .majina hufaban ndugu mbona unalud anlogy jamma angu ingekua pesa ungeniua ,daa jina tuuu kwer.majina hufanana bwanaMuachage kuiba majina ya watu aisee
Sasa unataka kunilazimisha namjua wakati sijui mbona unakua mbulula kias hicho hivi akina fred dunia hiu ni wangapi .na wakina john,diamond jitambue bas jamaa angu majina mbona hufanana me unayemsema wala simjuiJamaa toka mwaka 2000 anatumia hilo jina we nimeona umeanza kulitumia 2015 unamjua sana, alafu unadai humjui.. Tafuta utambulisho wako wewe kama wewe mkuu kuigana majina ni kubaya linaweza kutokea la kutoa ikawa dhahama..
time iliyo mfung porto wiki iliyo pita ili kuw na odd ya 15 tuwe makin na shaur hizo gane mchez over
mbona unakua mkali jama we jina umeiga kubali ukatae tafuta utambulisho wako si kuiga kwa mtu jamaa maarufu sana huyo kwenye mitandao ya kijamii usijifanye humjui unamjua sana tuSasa unataka kunilazimisha namjua wakati sijui mbona unakua mbulula kias hicho hivi akina fred dunia hiu ni wangapi .na wakina john,diamond jitambue bas jamaa angu majina mbona hufanana me unayemsema wala simjui
Baca anatoa over 2.5 leo hizo odd nzuriBarcelona Lose Leo Jamani Haya!!
Ungeweka toka asubuhi ungeonekana we mjanja zaidi.View attachment 336000 View attachment 336000 Nyota njema huonekana asbh, Mapema sana nilianza hivi ili kupima upepo. Naona hela ya chai tayari imepatikana.
Kama upo meridian kwa siku kama ya leo ulitakiwa utege bomu usiku...saiv miyeyusho.Meridian inazingua
Cc wakusomaUnder and over 0.5 inamaana gani mkuu
Over 0.5 inamaanisha jumla ya magoli yawe zaid ya moja, mfano:-Under and over 0.5 inamaana gani mkuu
Sio kweli, over 0.5 maana yake kusiwe na matokeo ya 0-0 tu...lipatikane goli hata moja.Over 0.5 inamaanisha jumla ya magoli yawe zaid ya moja, mfano:-
2-0, 1-1 n.k