Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Asanten sana mzawa asilia, hero de mmar, sumve 2015 mmenisaidia jambo

Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
 
Dalili zinaonyesha leo ni kati ya siku ambazo makampuni ya betting yatapata hasara leo ni ile siku ambayo kila aliyebet uwa anaamka amekula mkeka Siku kama hii uwa ni nadra sana uwa inakuja bila kutegemea Kila msimu uwa ipo na siku hii uwa inakuja bila kutegemewa
 
Dah yaani nasikia harufu ya pilipili iliyomwagika sana kanjibay Leo ama zako ama zetu.

Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
 
Reactions: pri
Wakuu eti kutumia meridian bet ukishajisajiri inakuaje pale unaposhinda mkeka wanakutumia pesa au unaenda kutolea kwenye office zao??
 
Asenooooo kashachana mkeka wangu hukuu...cjui maombi gani yatauokoaa mkeka wangu
 
Wakusoma Leo kuna mbinu nimejifunza kwako. Leo kuna mbinu nimejifunza maana juzi na jana mtaji ulikata nimepata mbinu kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…