Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

kwenye huo uwanja Barcelona ajawai kushnda huu ni mwaka wa 5 sasa.
 
Jana nliweka timu 8 Barcelona pekee ndo kachana mkeka yani hadi najuta kwanini sikufuata ushauri wa jamaa aliyesema barca analia ile game
 
Jamani nomba naomba mkeka walio mnisaidie maana kila ck mhindi hana huluma ananipuliza kila ck cjui lini nitampuliza yeye naombeni msaada wen jamaan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…