Usibet kwa tamaa weka timu chacheJamani nomba naomba mkeka walio mnisaidie maana kila ck mhindi hana huluma ananipuliza kila ck cjui lini nitampuliza yeye naombeni msaada wen jamaan
Mkuu achana na Napoli hatabiriki sku hizi if possible mpe drawWakuu maoni yenu hapa
Fiorentina win
Napoli win
Lazio win
Atlethc bil win
Villareal win
Celta vigo win
Hii ina dalili ya kua kweli au zote tia underNa hii
Tot draw
Leicester win
Liverpool draw
Wakuu maoni yenu hapa
Fiorentina win
Napoli win
Lazio win
Atlethc bil win
Villareal win
Celta vigo win
Dah pole mkuu aiseee ila tupe hata update tuwekaje mkeka leo hata nan atawin nan loseHabari za asbh wadau, poleni kwa matokeo ya Barcelona jana.
Ndugu zangu wana jukwaa kwa masikitiko makubwa nawataarifu ya kuwa usiku wa kuamkia leo wezi wamevunja mlango wa uani na kuingia ndani.
Wameniibia TV flat screen inchi 32 samsung, System ya mziki, deki na simu yangu aina ya Samsung galaxy s3 ya kikorea.
Naombeni ushirikiano wenu kwa atakayeona mtu anauza vitu hivyo.
Eneo wizi ulipotokea ni Kigoma.
Nb. Sitaweza kuweka screen shot ya mikeka kwani simu wamepeleka lkn naombeni dua zenu leo nataka nimtandike mhindi kesho nikanunue walau TV ya kisogo
Daah kweli kazi ipo...unafanan na wanaume wa darHabari za asbh wadau, poleni kwa matokeo ya Barcelona jana.
Ndugu zangu wana jukwaa kwa masikitiko makubwa nawataarifu ya kuwa usiku wa kuamkia leo wezi wamevunja mlango wa uani na kuingia ndani.
Wameniibia TV flat screen inchi 32 samsung, System ya mziki, deki na simu yangu aina ya Samsung galaxy s3 ya kikorea.
Naombeni ushirikiano wenu kwa atakayeona mtu anauza vitu hivyo.
Eneo wizi ulipotokea ni Kigoma.
Nb. Sitaweza kuweka screen shot ya mikeka kwani simu wamepeleka lkn naombeni dua zenu leo nataka nimtandike mhindi kesho nikanunue walau TV ya kisogo
Mbwembwe zimeshaanza watanzania bhana..Habari za asbh wadau, poleni kwa matokeo ya Barcelona jana.
Ndugu zangu wana jukwaa kwa masikitiko makubwa nawataarifu ya kuwa usiku wa kuamkia leo wezi wamevunja mlango wa uani na kuingia ndani.
Wameniibia TV flat screen inchi 32 samsung, System ya mziki, deki na simu yangu aina ya Samsung galaxy s3 ya kikorea.
Naombeni ushirikiano wenu kwa atakayeona mtu anauza vitu hivyo.
Eneo wizi ulipotokea ni Kigoma.
Nb. Sitaweza kuweka screen shot ya mikeka kwani simu wamepeleka lkn naombeni dua zenu leo nataka nimtandike mhindi kesho nikanunue walau TV ya kisogo
Pole sana wa kusomaHabari za asbh wadau, poleni kwa matokeo ya Barcelona jana.