Forgotten
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,642
- 11,139
West Ham na Fulham siyo wa kuamini sana. United anashinda.View attachment 2112178day 1 odd 2 hizo nitaenda hadi 10 days
West Ham na Fulham siyo wa kuamini sana. United anashinda.View attachment 2112178day 1 odd 2 hizo nitaenda hadi 10 days
Hizi story zimeanza kuwa nyingi sana humu, kuwe mnatuma picha ya keka kabisa.maombi yenu jana nimeweka team 20 sportpesa kwa jero imebaki team moja tu leo ya eindhoven ya netherland saa tatu usiku.
ingekuwa betpawa ninge cashout
Kila la kheri mkuu.Wazee wa Basketball Mkeka unapumua huu,bado Timu Moja hapo Sowon ishinde saa 7 mchana leo nile Laki Tisa, Basketball OyeeeeView attachment 2112287View attachment 2112288
Mmmh hivi hii site bado ipo??Hivi humu ndani watu hamtumii M-BETI jamani
M bet option Zao hazizid 5 [emoji3][emoji3][emoji23]Mmmh hivi hii site bado ipo??
Mungu saidua mkeka wa huyu jamaa uchanike ,Tena uchanike mpema ...maombi yenu jana nimeweka team 20 sportpesa kwa jero imebaki team moja tu leo ya eindhoven ya netherland saa tatu usiku.
ingekuwa betpawa ninge cashout
Mkuu mjinga sana wewe[emoji23][emoji23]. Mimi huu uzi huwa napita sio kwa vile napenda bali napenda ule ushirikiano mnakuwa nao humu. Hiyo juzi nilikuwa nawachora wanavyohangaika ila yule jamaa mwenye avatar ya jiwe amelala juu ya jiwe aliwaonya. At least umevuta wadau wengi waje uzi huuWazee wenzangu wa kuweka mzigo nawasalimu kwa jina la muungano.
Aisee akili ya mwafrika bhana[emoji23][emoji23][emoji23] hivi kweli kuna mtu yeyote aliamini nimepiga hiyo 48milions?? Daaaah. Tangu nijuinge Jf hakuna siku nimecheka kama jana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna viumbe sijawahi kabisa kuwaona kwenye huu uzi lakini jana wamepanga foleni huko Pm sijui walitokea sayari ya Jupiter??? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anyway yote kwa yote nilitaka kuchangamcha uzi tu wadau maana umepoa hatari, pia kwa waliokwazika tusameheane tu ndugu zangu. Ila mmbongo kumtapeli hakika ni rahisi mno
Mwenye odd walao 5 za sportybet code please
Eti avatar ya jiwe amelala juu ya jiwe😅Mkuu mjinga sana wewe[emoji23][emoji23]. Mimi huu uzi huwa napita sio kwa vile napenda bali napenda ule ushirikiano mnakuwa nao humu. Hiyo juzi nilikuwa nawachora wanavyohangaika ila yule jamaa mwenye avatar ya jiwe amelala juu ya jiwe aliwaonya. At least umevuta wadau wengi waje uzi huu
nako na wewe mkuu mwanzo mwisho. Vp mkeka wa pili ni leo ama kesho?View attachment 2112178day 1 odd 2 hizo nitaenda hadi 10 days
Kesho hadi huu ushindenako na wewe mkuu mwanzo mwisho. Vp mkeka wa pili ni leo ama kesho?
Hizi story zimeanza kuwa nyingi sana humu, kuwe mnatuma picha ya keka kabisa.
Pamoja sana mkuu, nilikua unataka kuja na chai kama za yule jamaa wa juzi.
all the best! si unajua kitu cha kubashiri? ingekuwa uhakika unajua unashinda unaweka mpunga wa maana.Kwenye wangu wa Basket nimeshaagiza Mdudu sehemu nashushia na Wine na hivi nipo likizo,nina uhakika SUWON lazima ashinde maana mechi ya mwisho wiki iliyopita alifungwa na Timu hiyohiyo,leo piga ua lazima ashinde,mechi inaanza saa 7:00 mchana huu
Wishing you all the bestKwenye wangu wa Basket nimeshaagiza Mdudu sehemu nashushia na Wine na hivi nipo likizo,nina uhakika SUWON lazima ashinde maana mechi ya mwisho wiki iliyopita alifungwa na Timu hiyohiyo,leo piga ua lazima ashinde,mechi inaanza saa 7:00 mchana huu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] mimi nilihisi hapa tunanyweshwa CHAI kavu kavu, haina hata andazi wala kachori.Mkuu mjinga sana wewe[emoji23][emoji23]. Mimi huu uzi huwa napita sio kwa vile napenda bali napenda ule ushirikiano mnakuwa nao humu. Hiyo juzi nilikuwa nawachora wanavyohangaika ila yule jamaa mwenye avatar ya jiwe amelala juu ya jiwe aliwaonya. At least umevuta wadau wengi waje uzi huu