Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sportpesa hawana Cash Out aisee daaah[emoji24][emoji24]nilishaweka Oda ya Ciment kabisa[emoji23][emoji23]yaani vipesa vidogo kama hivi nilivyoattach nakula,pesa kubwa kila siku Timu ya mwisho inavuruga, anyway Aluta Continue
Screenshot_20220208-152822.jpg
Screenshot_20220208-152839.jpg
 
Matokeo yoyote kwenye mpira hutokea, Ligi ya vijana hii UEFA.
Game 6 kati ya hizo 5 ni Over 3.5 na game moja ni 2.5
BCE7RFH

BET KISTAARABU, USIINGIZE MATATIZO YAKO YA VALENTINE KWENYE KUBET ILI TU UWEKE MAHUSIANO YAKO SAWA.
Screenshot_20220208-163513_Chrome.jpg
 
Kwenye wangu wa Basket nimeshaagiza Mdudu sehemu nashushia na Wine na hivi nipo likizo,nina uhakika SUWON lazima ashinde maana mechi ya mwisho wiki iliyopita alifungwa na Timu hiyohiyo,leo piga ua lazima ashinde,mechi inaanza saa 7:00 mchana huu
Pole mkuu suwon kapigwa mimi nilimpa away kashinda

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Wakuu naombeni mnisaidie namna ya kuwasiliana na sportybet kuna pesa nimedeposit haijafika bado ila nimeshapata msg voda mpesa
 
Back
Top Bottom