Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

IMG_0737.jpg

Pumbavu sana
 
Hawa takataka fenerbahce ni takataka hawa ndo timu za kwendaga kuchoma viwanja vyao hizi.
Screenshot_20220209-071612.jpg
 
Huu ugonjwa wa team moja kuchana mikeka ya hela ndefu unawapata wengi tu sema sisi wengine ni ngumu sana kuleta won tickets au mikeka iliyochanika humu, kibaya zaidi mechi ya kwanza tu inachana mkeka ukija kufatilia mechi zilizobaki unakuta green za kufa raia [emoji28].


Mimi nimeshasema kwenye betting sifukuzii hela ya kula, kwahiyo nitaendelea kumsaka hivhivi Siku akiingia kingi ntakuwa nimepiga parefu sana n'a nitaacha kubeti rasmi.
 
Back
Top Bottom