allypipi
JF-Expert Member
- May 10, 2020
- 3,340
- 11,017
Mzee anzaga tu kulewa huko mambo yana jibu huko.
Mzee anzaga tu kulewa huko mambo yana jibu huko.
ni hatari 😀Mzee anzaga tu kulewa huko mambo yana jibu huko.
Dah mzee naona kwa mwaka huu ndo umeotea kaela kamaana kwa mkwanja mdogo tu.hapo ulivyo bangi utaanza kuwaza kwanin ukutia buku5ni hatari [emoji3]
Mkuuall the best! si unajua kitu cha kubashiri? ingekuwa uhakika unajua unashinda unaweka mpunga wa maana.
ndio mambo ya kuweka hela kimasikhara, second half started..Dah mzee naona kwa mwaka huu ndo umeotea kaela kamaana kwa mkwanja mdogo tu.hapo ulivyo bangi utaanza kuwaza kwanin ukutia buku5
Mzee fanya ata yakubetia keshondio mambo ya kuweka hela kimasikhara, second half started..
Makampuni mengi siku hizi aiseeMwenye akaunti pigabet. Hii helaView attachment 2113117
wanaua hawaMzee fanya ata yakubetia kesho
Dah yani mzee unapata hela yako bila presha yoyote sema awajamaa PSV wanatisha bwana ndo wa pili kwenye ligi nyuma ya Ajax wababe.wanaua hawa
Mkuu uwe unatupiamo na huku mara mojamoja siye wengine ni watupu sana kwenye basketHii AIX matako sana daaah,na mpaka HT ilikuwa inaongoza kwa tofauti ya Magoli 12[emoji24][emoji24]yaani Milioni imenipita hivihivi leo daaah
Pole sana inaumaga sana hiyoSawa,daaah hii Timu imeninyima ml.3.3[emoji24]
Tunaomba siku nyingine uwe una share basi tulie pamoja naweSawa,daaah hii Timu imeninyima ml.3.3[emoji24]