Barnabas Mashamba
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 1,154
- 3,144
Keka limefika mwisho na kuniacha nikijisemea, "laiti ningeweka stake ya maana".Keka bado linapumua na linaelekea kutoa. Kuna timu nilikuta zimeshaanza hivyo nikazitoa na kubakiwa mechi 18 zenye odds 37.46 pekee. Mechi iliyosalia ni basketball kati ya Los Angeles Lakers vs Milwaukee Bucks na wapo vikapu 83 - 107 Q3 na gemu imebetiwa away.