Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Over mfano mechi imesha 2-1 (2+1=3) hapo ni over ila mechi imeisha 2-0(2+0=2)hapo ni under navyo elewa mm
ok na hii ya kweny mkek bet naona
84cd6ece593d033ecf4b9562f2e66fc1.jpg
ipo hivyo over tofaut tofaut ndo ikoje?
 
Hii ligi ukiweka 2+ haikuangushi ...

upload_2016-4-12_12-9-14.png


Kwa mtu aliyeweka 3+ jana akaweka stake nzuri, imemtoa vzr mnooo
 
Mimi kwa leo nimetoka hivi;
Leganes
Real madrid
Fiorentina
Napoli
Fenebahche
Locomotive moscow
Leviski
Rb Leipzig
Total odds. 13.24 nimetia 200,000

All win. Ushauri sio mhimu sana maana nishamaliza malipo.

Duh!! Wakusoma mbona matimu yamekuwa meengi mno!? Kiisabati uliyoweka iko against na probability mbaba.

Uwezekano wa kutusua ni mdogo saana kwenye hilo keka.
 
Leo ipi hivi....
 

Attachments

  • IMG_20160412_125804.JPG
    IMG_20160412_125804.JPG
    28.4 KB · Views: 38
  • IMG_20160412_125804.JPG
    IMG_20160412_125804.JPG
    28.4 KB · Views: 49
Kwa wale wenzangu na mimi tusiopenda faida kubwa twendeni hivi....
Stake juu yako ila mi naweka kilo
 

Attachments

  • 1460457362432.jpg
    1460457362432.jpg
    48.9 KB · Views: 37
Jamani mechi za UEFA leo pesa iko nje kabisa, chezeni option ya both teams to score "N", zote ziko na odd zaidi ya 2, weka 50,000/=.
 
Back
Top Bottom