Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mega mix....hapo vp?
1460472762504.jpg
1460472762504.jpg
 
Leo hakuna haja ya kuweka mikeka maana mechi ni za marudio na kila mtu ana masmuzi yake.

La msingi tuwe makini na tamaa tu huyu mhindi leo analika hata kwa option ya goli moja
 
Leo hakuna haja ya kuweka mikeka maana mechi ni za marudio na kila mtu ana masmuzi yake.

La msingi tuwe makini na tamaa tu huyu mhindi leo analika hata kwa option ya goli moja
Unamaanisha moja + au sijakusoma vzr
 
Hongera mkuu naona uliotea kuwa hakuna GG kwenye game zote za UEFA na imekuwa kweli,kama kuna waliokufuata sasa hivi ni full shangwe.
Hiyo ilikuwa wazi sana na ilikuwa na odd zaidi ya 4.6 wakati naandika, walonifata kwa ile 50,000/= nilowaambia lazima wamelipiza machungu.
 
Back
Top Bottom