Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ushindi mtamu
Screenshot_20220210-052214.jpg
Screenshot_20220210-052245.jpg
 
Ndio maana hutakuja kuona JACKPOT YA BASKETBALL kwenye Makampuni yote ya Betting iwe Tanzania na nje[emoji23]wakuwekee JACKPOT sijui bashiri Timu 13 au 20 au 30 na zaidi za Basketball ushinde Milioni 100 au Milioni 500 na kuendelea thubutu!!!wanajua watakuwa wanagongwa kila siku, hivyo JACKPOT wanaiweka kwenye Football tu maana wanajua huko ni kugumu(mfano Milioni 800 hiyo ya Jackpot Sportpesa Timu 13 wakuwekee kwenye Basketball??)HAWAWEZI kufanya hivyo maisha yao yote[emoji23]
 
Kama inavyofahamika kuwa SImba Jumapili wanakipiga na Asec Mimosas ya Code vore na tayari walishatangaza viingilio vya mechi hiyo ambapo kiingilio cha chini kabisa kilikuwa ni shilingi 5,000. Jana Mwenyekiti wa Heshima wa Club hiyo akizungumza na wachezaji alipowatembelea kambini kuwatia hamasa, aliamua kushusha viingilio vya mechi hiyo kutoka 5,000 hadi 3,000. Nimemsikia mchambuzi mmoja wa Wasafi mda si mrefu akihoji mustakabari wa wale washabiki ambao wameshanunua Ticket za 5,000 kama watarudishiwa chenji ama lah!.. Kama ningekuwa kiongozi wa wa vipindi wa redio leo ndio ingekuwa mwisho wake wa kufanya uchambuzi wa soka..kwani ameonyesha uwezo mdogo saana wa kufikiria na tena kwa kiwango kisichovumilika .aisee hawa wachambuzi wetu wameshajiona wao ni wakupinga kila kitu hata bila kutumia akili...
 
Back
Top Bottom