Site gani hii mkuuBCF6DE8 pesa hyo mwenye uhitaji
Mkuu tupua hata kamkeka tusafirie nyota hiyoMkuu DOTTOJ karibu kwenye Basketball hutajuta(huku matokeo ni mawili tu ashinde A au ashinde B hakunaga DRAW),hivyo uwezekano wa kushinda ni mkubwa kuliko kwenye Football ambako kuna matokeo matatu
Jibu ni Simple...wamechangia club...na kwa akili ya kawaida unadhani unaweza ukawarudishia kweli? kweli hapo kuna hoja kweli ya kuongea redioni?ASA HAPO SHIDA IKO WAPI KUHOJI?? AU WEWE NDO HUKUELEWA ALIKUWA ANAMAANISHA NINI??
Jibu ni Simple...wamechangia club...na kwa akili ya kawaida unadhani unaweza ukawarudishia kweli? kweli hapo kuna hoja kweli ya kuongea redioni?Shida ni lile lile usimba na uyanga.. ata wewe hapo umeshindwa kutafakari kisa usimba
2+ odds, stake ya maanaView attachment 2114436
Kuna muda huwa unakuwa na mihemiko ya kitoto sana, yeye kusema site fulani ina option nzuri imekuuma nini??Lipia tangazo.
Sasa kwa Man city kuwekwa Over 0.5 utapa odd ya ngapi??
Hutushawishi kuhamia huko mzee.
Umetsha[emoji856][emoji856]View attachment 2114415
Unabetia site gani?? Hapo ingekuwa ni over 2.5 ungekuwa vizuri saivi.Hapa ndo naamka tena kwa jicho moja. Games hizi zilikuwa za usiku ama tuseme alfajiri kali.
Sasa? Si niendelee tu kulala? [emoji1787][emoji1787]View attachment 2114484View attachment 2114486
Daaah atakaepiga hii jackpot, atakuwa mtu mwingine kabisa, hapo unaweza vuta SUV za kutembelea hâta mbili zamaana, mjengo mmoja wa maana na biashara kubwa tu.FUNDI SELEMALA ASHINDA JACKPOT BONUS YA SPORTPESA.
Mkazi wa Mbezi Beach Africana, Wilaya ya Kinondoni jijini Dar-Es-Salaam John Willbaard Bugenyi, ameshinda shilingi 4,727,156, katika Jackpot Bonus ya SportPesa iliyochezwa mwishoni mwa wiki iliyoisha, baada ya kupatia kwa usahihi mechi 11.
Akizungumza baada ya makabidhiano ya mfano wa hundi katika ofisi za Sportpesa jijini Dar-Es-Salaam, John anasema alianza kucheza na Sportpesa miaka kadhaa iliyopita. ‘’Nilianza kucheza na Sportpesa kama sikosei miaka minne iliyopita’’.
Kwa mujibu wake, John ambaye pia ni fundi selemala, anasema alivutiwa sana na jina la SportPesa, kabla ya rafiki yake mmoja kumtambulisha rasmi kwa kumuelekeza namna ya kucheza.
‘’Ujue nina rafiki yangu mkubwa sana anayeitwa Maganga, yeye alikutana na mimi na kunionyesha namna ya kujisajili na kucheza. Na baada ya hapo niliweza kucheza mwenyewe’’. Alisema John.
Mimi katika michezo ya kubashiri ya Sportpesa nacheza aina moja tu ya mchezo ambao ni Jackpot. Na katika jambo hili la ubashiri sina utani wala maskhara hata kidogo. ‘’
Huwa nacheza Jackpot tu. Na kwa siku ambapo Jackpot inatoka huwa nacheza mikeka kama saba au nane.
Akielezea namna alivyopata ushindi huu wa Jackpot bonus anasema aliona mkeka wa jackpot siku ya Jumatatu na kuanza kucheza papo hapo. ‘’Sikusubiria cha Ijumaa wala cha Jumamosi, nilichagua timu zangu ninazoziamini muda ule ule nilipoziona timu, na baada ya hapo sikuzifuatilia’’.
Anaendelea kusema alikuja kujua kashinda baada ya juzi kutaka kuongeza pesa na kuona haziingii ndipo alipotizama kwa makini akaona kama pesa ipo milioni 4.
‘’Kwa kweli sikuamini ila kwa kuwa nina imani na Sportpesa nilipiga simu Sportpesa kwakutumia namba za huduma kwa wateja na wakanithibitishia ni kweli nimeshinda na kunitaka nifike ofisini kwao kama unavyoniona hivi sasa’’.
John anawashauri watanzania wote wasisite kucheza Jackpot ya Sportpesa kwani ndio njia sahihi na ya uhakika ya kushinda hela. ‘’ pamoja na kwamba kwa miaka yote minne tangu nimeanza kucheza sikuwahi kushinda chochote, mimi nilimtumainia Mungu na kuamini siku yangu itafika. Kama unavyoona siku yangu imefika kweli’’.
Anamalizia kwa kusema fedha aliyopata atatoa fungu la kumi na nyingine atatumia kwenye ada na karo za shule za Watoto wake.
Kwa wiki hii kiwango cha Jackpot hakijawahi kutokea kwani kipo 918,137,180.
Kwa upande wa Sportpesa Meneja Uhusiano na Mawasiliano Sabrina Msuya alimpongeza sana John kwa ushindi wake na kumsihi ajitahidi hizo fedha azitumie vizuri maana ni pesa nyingi.
“Hivi sasa Jackpot imepanda hadi shilingi 918,137,180 ambapo ndio kwa mara y akwanza kufika kiasi hicho tangu Jackpot ianze kutolewa”
“Hiki ni kiasi kikubwa sana cha fedha na ninauhakika mshindi atakayeondoka nazo atakuwa ni mtu mwingine kabisa. Historia yake itabadilika na familia yake kwa ujumla”
Kumbuka kwamba bado tunaendelea kutoa Jackpot bonus kila wiki kwa washindi watakaobashiri kwa usahihi mechi 10-12.
View attachment 2114551
Ni kweli lakini pia niliona kuna uzuri wa kupunguza risk kwa kuongeza upana wa kushinda hata magoli yakiwa mawili tu kwenye mechi.Hizi game ungeweka over 2.5 ungekuwa na nice day
Meridian bet.Unabetia site gani?? Hapo ingekuwa ni over 2.5 ungekuwa vizuri saivi.
Yaani milioni nne mnivalishe bango kubwa hivyo aisee no bora mninyongeFUNDI SELEMALA ASHINDA JACKPOT BONUS YA SPORTPESA.
Mkazi wa Mbezi Beach Africana, Wilaya ya Kinondoni jijini Dar-Es-Salaam John Willbaard Bugenyi, ameshinda shilingi 4,727,156, katika Jackpot Bonus ya SportPesa iliyochezwa mwishoni mwa wiki iliyoisha, baada ya kupatia kwa usahihi mechi 11.
Akizungumza baada ya makabidhiano ya mfano wa hundi katika ofisi za Sportpesa jijini Dar-Es-Salaam, John anasema alianza kucheza na Sportpesa miaka kadhaa iliyopita. ‘’Nilianza kucheza na Sportpesa kama sikosei miaka minne iliyopita’’.
Kwa mujibu wake, John ambaye pia ni fundi selemala, anasema alivutiwa sana na jina la SportPesa, kabla ya rafiki yake mmoja kumtambulisha rasmi kwa kumuelekeza namna ya kucheza.
‘’Ujue nina rafiki yangu mkubwa sana anayeitwa Maganga, yeye alikutana na mimi na kunionyesha namna ya kujisajili na kucheza. Na baada ya hapo niliweza kucheza mwenyewe’’. Alisema John.
Mimi katika michezo ya kubashiri ya Sportpesa nacheza aina moja tu ya mchezo ambao ni Jackpot. Na katika jambo hili la ubashiri sina utani wala maskhara hata kidogo. ‘’
Huwa nacheza Jackpot tu. Na kwa siku ambapo Jackpot inatoka huwa nacheza mikeka kama saba au nane.
Akielezea namna alivyopata ushindi huu wa Jackpot bonus anasema aliona mkeka wa jackpot siku ya Jumatatu na kuanza kucheza papo hapo. ‘’Sikusubiria cha Ijumaa wala cha Jumamosi, nilichagua timu zangu ninazoziamini muda ule ule nilipoziona timu, na baada ya hapo sikuzifuatilia’’.
Anaendelea kusema alikuja kujua kashinda baada ya juzi kutaka kuongeza pesa na kuona haziingii ndipo alipotizama kwa makini akaona kama pesa ipo milioni 4.
‘’Kwa kweli sikuamini ila kwa kuwa nina imani na Sportpesa nilipiga simu Sportpesa kwakutumia namba za huduma kwa wateja na wakanithibitishia ni kweli nimeshinda na kunitaka nifike ofisini kwao kama unavyoniona hivi sasa’’.
John anawashauri watanzania wote wasisite kucheza Jackpot ya Sportpesa kwani ndio njia sahihi na ya uhakika ya kushinda hela. ‘’ pamoja na kwamba kwa miaka yote minne tangu nimeanza kucheza sikuwahi kushinda chochote, mimi nilimtumainia Mungu na kuamini siku yangu itafika. Kama unavyoona siku yangu imefika kweli’’.
Anamalizia kwa kusema fedha aliyopata atatoa fungu la kumi na nyingine atatumia kwenye ada na karo za shule za Watoto wake.
Kwa wiki hii kiwango cha Jackpot hakijawahi kutokea kwani kipo 918,137,180.
Kwa upande wa Sportpesa Meneja Uhusiano na Mawasiliano Sabrina Msuya alimpongeza sana John kwa ushindi wake na kumsihi ajitahidi hizo fedha azitumie vizuri maana ni pesa nyingi.
“Hivi sasa Jackpot imepanda hadi shilingi 918,137,180 ambapo ndio kwa mara y akwanza kufika kiasi hicho tangu Jackpot ianze kutolewa”
“Hiki ni kiasi kikubwa sana cha fedha na ninauhakika mshindi atakayeondoka nazo atakuwa ni mtu mwingine kabisa. Historia yake itabadilika na familia yake kwa ujumla”
Kumbuka kwamba bado tunaendelea kutoa Jackpot bonus kila wiki kwa washindi watakaobashiri kwa usahihi mechi 10-12.
View attachment 2114551
Wanazingua sana hawa, halafu hâta huyo mshindi mwenyewe anaongea kama vile kashinda mamiliona ya maana wakati hela hazitoshi na zitamlazimu tu arudi kubeti tena.Yaani milioni nne mnivalishe bango kubwa hivyo aisee no bora mninyonge