Mkazamoyo
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 1,638
- 2,817
Mliokuwa mnashika no1 darasani mtusaidie kutuelewesha hapa cc wengine wa back bencher tumetoka patupuUkishinda bonus ni hiari yako picha zako zisitumike kwenye kitu chochote kinachohusiana na SportPesa ila ukishinda bonus ni lazima picha zako zitumike kwenye akaunti zao za mitandao ya kijamii.