Mimi naona tofauti na NBA huko kwingine haina tofauti na footballBasketball nayo ni hatari kwa afyaView attachment 2115197
Mambo yamekuwa tofauti kabisa mkuu.LIV vs LEI GG/BTTS
WOL vs ARS GG/BTTS
NANTES WIN & Over 1.5
VALENCIA WIN & Over 2.5
Matokeo yakitokea hivyo wadau wawili watokee DM niwape mtaji wa wiki hii.
Amekutana na kitu kizito sanaMambo yamekuwa tofauti kabisa mkuu.
Bet app ipi nzuri weka na linkNimeamka na Supu ya kuku. BASKET NBA 1 HALF zilitoa zote.View attachment 2115638
Kampuni gani imeweka hi mechi?It's fair to say Drake ana addiction ya betting.View attachment 2115414
Nilijua betpawa...!!!BCE9WME
200+ odd
Looking so promising[emoji857]
Zimekubali [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060]Hizi mechi zetu za usiku mkali zikitoa over1.5 itakuwa vema sana. [emoji847]View attachment 2115388
Hili dau kwa tz ni bei ganiIt's fair to say Drake ana addiction ya betting.View attachment 2115414
Kuna mikeka mingapi hapa mkuu nimeshindwa hata kuelewaWazee, hivi mkinikuta kwenye viti virefu weekend hii mtaniita fisadi?
Six consecutive wins.
Jua wapi pa kulipuka na wapi pa kwenda slow.
Master options zako then consistency is the key.
View attachment 2115809View attachment 2115811View attachment 2115812View attachment 2115813View attachment 2115816View attachment 2115818
Kila picha ni rejea ya mkeka wake ulotumwa hapa. Jumla mikeka sita. Nini kigumu kueleweka, mkuu?Kuna mikeka mingapi hapa mkuu nimeshindwa hata kuelewa
Lakini hapo mikeka yote ni ya siku za nyumaKila picha ni rejea ya mkeka wake ulotumwa hapa. Jumla mikeka sita. Nini kigumu kueleweka, mkuu?
Babu, ndo maana nikaandika 'six consecutive wins' ... ushindi mikeka sita mfululizo. Hiyo ni mikeka iliyotumwa hapa. So ilikuwa ni rekodi tu kwa ajili ya motisha na kujifunza.Lakini hapo mikeka yote ni ya siku za nyuma
Tunaomba wa leo