Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

PSG shenzi kabisa nyie
IMG_0759.jpg
 
Al hidd ssc kashindwa pata hata goli moja tu…ningekua namsubiri man u tu kesho nicheke kizungu
3e973af4-592d-4c69-92f8-bbde099c4ec2.jpg
 
Makampuni ya kubeti ya kitanzania yameshaona watu wanaobeti hawana akili kabisa, hajasoma na hawajui hesabu.
Wasafibet wanakata 20% badala ya 15% wakati mwongozo wa bodi upo wazi.

Sportpesa wao wameamua kuwadanganya watu wazima, kadri unavyoongeza timu wanakuongezea bonus.

UKWELI NI KUWA
Bonus ni fekelo, hupewi hata 100. Wameshaona watu hawapigi hesabu basi na wao wanatumia mwanya huo kuwapiga. Na ndio maana kuna hadi kampuni zinaitwa pigabet coz washaona fursa.

Mfano leo kuna game option ya over 1.5 haikuwepo, walianzia na over 2.5. game hiyo hiyo kampuni za nje hadi over 0.5 ilikuwepo.
Kibaya hiyo game imeshindwa kutoa over 1.5.
 
Nimehangaika wee kuchambua timu 5 zenye odds 5.9 moja imechafua haya inplay timu 1 tu odds 7 a nimeshinda bora inplay hizo zingine ngumu sana
Screenshot_20220212-060026.jpg
Screenshot_20220212-060004.jpg
 
Makampuni ya kubeti ya kitanzania yameshaona watu wanaobeti hawana akili kabisa, hajasoma na hawajui hesabu.
Wasafibet wanakata 20% badala ya 15% wakati mwongozo wa bodi upo wazi.

Sportpesa wao wameamua kuwadanganya watu wazima, kadri unavyoongeza timu wanakuongezea bonus.

UKWELI NI KUWA
Bonus ni fekelo, hupewi hata 100. Wameshaona watu hawapigi hesabu basi na wao wanatumia mwanya huo kuwapiga. Na ndio maana kuna hadi kampuni zinaitwa pigabet coz washaona fursa.

Mfano leo kuna game option ya over 1.5 haikuwepo, walianzia na over 2.5. game hiyo hiyo kampuni za nje hadi over 0.5 ilikuwepo.
Kibaya hiyo game imeshindwa kutoa over 1.5.
juzi nimegombana nao sportpesa kinyama kuhusu bonus wanayoweka kwenye text,

Screenshot_20220212-085150_SportPesa.jpg

hii ndio hela niliwin pamoja na bonus ila kutoa wamenipa 575000 bonus wameondoa.

ni wahuni ni basi nipo mbali ningeenda ofisini kwao.
 
juzi nimegombana nao sportpesa kinyama kuhusu bonus wanayoweka kwenye text,

View attachment 2116885

hii ndio hela niliwin pamoja na bonus ila kutoa wamenipa 575000 bonus wameondoa.

ni wahuni ni basi nipo mbali ningeenda ofisini kwao.
Wameshaona watu wengi hawapigi hesabu ndio maana wanawatapeli kwa udanganyifu.
Jana nilitafuta game 5 wakaniogezea bonus ya 15. Sasa baadae kuja kupiga hesabu baada ya kuwin nikaona wamefyeka bonus.
 
Back
Top Bottom