Kabisa Mkuu, mostly Yule Mwamba wanamuita Mr.Banks..! Ila hata humu JF watu wanambutua kanji odds Hadi 20K.Wanigeria wanasuka majamvi[emoji119], watu ni odds 1000+ na zinatoboa wanambutua iyo sportybet sio poa
Kabisa Mkuu, mostly Yule Mwamba wanamuita Mr.Banks..! Ila hata humu JF watu wanambutua kanji odds Hadi 20K.Wanigeria wanasuka majamvi[emoji119], watu ni odds 1000+ na zinatoboa wanambutua iyo sportybet sio poa
Jana wanasema weekend hii Lazima wamkalishe kanji, Mr.banks karudi na mkwara. Anasema safisha akaunti, anataka kuijaza. Juzi kashinda 6k odds.Hatari , wajinga wanafukuza odds sio mchezo watu wako serious na huu mchezo aisee
Na nyie mcopy mikeka yake mle wote au nyie mnaogopa?Jana wanasema weekend hii Lazima wamkalishe kanji, Mr.banks karudi na mkwara. Anasema safisha akaunti, anataka kuijaza. Juzi kashinda 6k odds.
leta jina la group hata moja huko telegram au Twitter tunaweza jifunza kitu kwa hao wanaigeria
Na nyie mcopy mikeka yake mle wote au nyie mnaogopa?
Mr. Banks ni legend kwenye huu mchezo, utajiri wake kaupatia huku na bado pesa anazopiga kuna percent anaweka kwenye crypto. Jamaa ashatoboa.Kabisa Mkuu, mostly Yule Mwamba wanamuita Mr.Banks..! Ila hata humu JF watu wanambutua kanji odds Hadi 20K.
Mimi huwa nacopy mikeka inayoanzia odds 100 na kuendelea chini ya hapo huwa naacha hata zikiwin huwa sijaliWe humu huwa una copy mikeka yote ya win ?
Hawa wa Nigerian nihatari jana najuzi walitoboa odds 1000 na 800 aseeTwitter lucky_son8, mr bayoa1, pbtips_, Ukifollow hizo utajua nyingi
Imeni chinja...nilienda direct.
Wanigeria wanasuka majamvi[emoji119], watu ni odds 1000+ na zinatoboa wanambutua iyo sportybet sio poa
Yupo group gani?Kabisa Mkuu, mostly Yule Mwamba wanamuita Mr.Banks..! Ila hata humu JF watu wanambutua kanji odds Hadi 20K.
Cheki na hii Code Sportybet.Nmekuja na odds hapa za wafungaji betika kwenye watafunga
Cheza wawili wawili
Cr 7 odds 2.30
Kdb odds 2.70
Patrick Schick 2.70
Gnabry 2.90
Lautaro Martinez 4.0
Suarez 2.70
Stake kwa mmoja mmoja ama wawili
Gluck punters
Kupunguza risk kwa PigaBet unaweza kucheza hizo zote kwa double chance au triple chance.Nmekuja na odds hapa za wafungaji betika kwenye watafunga
Cheza wawili wawili
Cr 7 odds 2.30
Kdb odds 2.70
Patrick Schick 2.70
Gnabry 2.90
Lautaro Martinez 4.0
Suarez 2.70
Stake kwa mmoja mmoja ama wawili
Gluck punters