Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wameshaona watu wengi hawapigi hesabu ndio maana wanawatapeli kwa udanganyifu.
Jana nilitafuta game 5 wakaniogezea bonus ya 15. Sasa baadae kuja kupiga hesabu baada ya kuwin nikaona wamefyeka bonus.
Mimi ndo maana nakufa na betpawa tu kuhusu bonus wapo vizuri labda option zao tu ndo tatizo.
 
Screenshot_20220212-094642_Chrome.jpg
 
Makampuni ya kubeti ya kitanzania yameshaona watu wanaobeti hawana akili kabisa, hajasoma na hawajui hesabu.
Wasafibet wanakata 20% badala ya 15% wakati mwongozo wa bodi upo wazi.

Sportpesa wao wameamua kuwadanganya watu wazima, kadri unavyoongeza timu wanakuongezea bonus.

UKWELI NI KUWA
Bonus ni fekelo, hupewi hata 100. Wameshaona watu hawapigi hesabu basi na wao wanatumia mwanya huo kuwapiga. Na ndio maana kuna hadi kampuni zinaitwa pigabet coz washaona fursa.

Mfano leo kuna game option ya over 1.5 haikuwepo, walianzia na over 2.5. game hiyo hiyo kampuni za nje hadi over 0.5 ilikuwepo.
Kibaya hiyo game imeshindwa kutoa over 1.5.
Jamaa yangu kumbe na wewe umeliona hilo la sportpesa hawa jamaa ni wezi kabisa, hususani kwenye upande wa magoli wanabana option kabisa hawana tofauti na betpawa hawa jamaa.
 
Back
Top Bottom