Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,020
- 22,096
Wanaijeria wengi ni wajanja wajanja tu na uongo mwingi
Ama watapost won tu ambazo kimsingi wame edit
Wakipost Tips hebu copy kila siku na ustake hata 300 tu kila siku ndio utajua kama hujui
Hakuna BINGWA wa BAHATI
Hakuna namna unaweza ku won Odd 1000+ kwa mwaka hata mara 5 tu ..... It is next to impossible
We copy code zao utajua
Ni imani yako sipo kukushawishi uwafate. Kwa utambuzi wangu na trend nimeona wakishinda na kuliwa.