Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 5,008
- 9,209
Kumbe kwenye kubet siyo kutabiri ushindi tu? Unaweza kutabiri kama mchezaji atafunga au la. Sasa kama ni hivyo mbona ni rahisi sn
Kumbe kwenye kubet siyo kutabiri ushindi tu? Unaweza kutabiri kama mchezaji atafunga au la. Sasa kama ni hivyo mbona ni rahisi sn
🤣🤣😆😀🤣🤣🤣🤣🤣😂😂Barcelona na PSV Endihoven wamenichania mkeka wangu mbwa wale. Leo nilikuwa naamka na laki 2
Uzembe wa kufikiri!
Mi naonaga pia kukiwa na maoption mengii si kigezo cha kushinda beti22bet naona wana makorokocho mengi nashindwa hata kuweka bet. Wakuu, mi ngoja niendelee na wasafibet tu. Wako very simple,
Mkuu jitahidi kuepuka kuweka game moja kwa option ile ile kwenye mkeka zaidi ya mmoja
When you have a choice chose the bestMi naonaga pia kukiwa na maoption mengii si kigezo cha kushinda beti
wewe si ndio ulikuwa unasema kampuni za betting zinapataje faida ...huo ni mwanzo tu wa kujua zinapataje hiyo faidaBarcelona na PSV Endihoven wamenichania mkeka wangu mbwa wale. Leo nilikuwa naamka na laki 2
Wala bado sijapata hasara. Natumia ile 90,000 niliyowapiga Wasafi over the weekend. Na mimi stake zangu ni elfu 2 kushuka chini, halafu odds 90 huko.wewe si ndio ulikuwa unasema kampuni za betting zinapataje faida ...huo ni mwanzo tu wa kujua zinapataje hiyo faida
Direct win ndiyo nn mkuu?Ogopa sana direct win
Direct win ndiyo nn mkuu?Ogopa sana direct win
utaelewa tu somoWala bado sijapata hasara. Natumia ile 90,000 niliyowapiga Wasafi over the weekend. Na mimi stake zangu ni elfu 2 kushuka chini, halafu odds 90 huko.
Somo gani sasa. Mimi sitoi stake zaidi ya 2000. Somo kwa hao wanaowwka hela nyingiutaelewa tu somo