Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Muda ukifika nazima simu.
Screenshot_20220310-204725_1xBet.jpg
 
Mfano wa mechi
Simba vs Dodoma Jiji
simba anaandikwa 1 kama timu ya nyumbani

Dodoma Jiji anaandikwa 2 kama timu ya ugenini

ukibeti ukaandika 1 maana yake timu ya nyumbani ashinde
2 maana yake wa ugenini ashinde

x itoe suluhu

12 maana yake nyumbani au ugenini ashinde

1x maana yake wa nyumbani ashinde au adraw.

2x... (jaza mwenyewe)
Kwahiyo inaruhusiwa kumbe kubashiri matokeo aina mbili kwenye game moja?
 
Back
Top Bottom