Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hapana boss hajaonewa Sub imefanyika Dressing room haijafanyika wakati wachezaji wamerud uwanjani.
Hizo option zakitapeli sana,,kwenye football hakuna neno 'After break' hata kwenye hiyo option haipo,ila kuna first half na second half.Kwahiyo kipyenga kikipulizwa it means kipndi cha kwanza kimeisha,so second round inaanza.wamejificha hapo kwenye after break ili kutupiga.Shubamittt!!
 
Sawa, vipi second half inaanza dakika ya ngapi kama sub inaonyesha ilifanyika dakika ya 46
Bro nilivyoelewa hyo option ingetick endapo sub ingefanyika wkt timu zipo 2 Nd half Labda kwenye DKK 50/60 /80 n.k. lkn hyo ya DKK 46 n after break yaan hata 2 Nd half haijaanza walifanya sub straight from halftime break
 
Mkuu mbona nashindwa kukuelewa, kwani second half inaanzia dakika ya ngapi? Na unavyosema after break lakini siyo second half unamaanisha nini sasa?? Hii ni football na siyo basketball
Hiyo option hata mimi nimewahi kuliwa nikadhani nimeonewa kumbe ilikuwa uelewa tu.
Ipo hivi
° Kuna sub ambayo inaweza kufanyika first half ambayo wote tunaona hadharani.
° Kuna sub ambayo inafanyika wakiingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo. Ina maana ikifanyika hii, utakuta wanaingia second half halafu mchezaji fulani haingii kabisa. Maana yake kashafanyiwa ndani.
° Halafu kuna sub inafanyika second half ikishaanza.
 
View attachment 2145014
Wakuu hivi hapa niko sawa au ndo sijaelewa hiyo option. Game ya man city sub zimefanyika kipindi cha pili lakini 22bet wanaweka status lost.
1.Iko hivi kijana kuna mchezaji anabadilishwa before half time ( hiyo tunaita first half substution)

2.Kuna mchezaji anabadilishwa ndani ya chumba cha mapumziko au wakati kipenga cha kuanza kipindi cha pili hakijapulizwa unaona wamenyanyua ubao mychezaji anabadilishwa.( Hiyo ndo after break substition)

3. Kuna mchezaji anaingia mara tu baada ya filimbi. baada ya kipindi cha pili wachezaji kuanza kupiga gozi la kipindi cha pili ( hii ndo 2nd half substution.


Hizi option usipozielewa unaweza hisi umeibiwa

NB: Muhindi huwa haibii mtu asiyemla,Ukiona umeibiwa na muhindi ujue umeliwa kweli
 
Hizo option zakitapeli sana,,kwenye football hakuna neno 'After break' hata kwenye hiyo option haipo,ila kuna first half na second half.Kwahiyo kipyenga kikipulizwa it means kipndi cha kwanza kimeisha,so second round inaanza.wamejificha hapo kwenye after break ili kutupiga.Shubamittt!!
Naungana na wewe
 
Unachagua team 5 kati ya 1000+ unazipa over 1.5, baada ya siku unakuta team 970 zimetoa over 1.5 kasoro baadhi ya ulizochagua wewe.[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna huyu jamaa

0DB9EDF8-56CE-4B4B-91B1-E13171879495.jpeg
 
Back
Top Bottom