Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Boom,mliopita nayo tunacheka sasa
Screenshot_20220310-000848_Print%20Spooler.jpg
 
Screenshot_20220310-003104.png

Wakuu hivi hapa niko sawa au ndo sijaelewa hiyo option. Game ya man city sub zimefanyika kipindi cha pili lakini 22bet wanaweka status lost.
 
View attachment 2145014
Wakuu hivi hapa niko sawa au ndo sijaelewa hiyo option. Game ya man city sub zimefanyika kipindi cha pili lakini 22bet wanaweka status lost.
Option nzuri ni ile ya 1st half substitution under 0.5 hiyo uliyoweka wewe sub ya kwanza imefanyika after break na siyo second half ndiyo maana ume-lose.
 
Mkuu mbona nashindwa kukuelewa, kwani second half inaanzia dakika ya ngapi? Na unavyosema after break lakini siyo second half unamaanisha nini sasa?? Hii ni football na siyo basketball
 
After break maanayake, wakati wa mapumziko(break), mchezaji anafanyiwa sub kabla kipindi cha pili hakijaanza.
(First half, After break, Second half)

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom