Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kumbe ndiomaana, haka ka K ni ka underdog JF kameingia juzi tu [emoji38][emoji38]
IMG_20220309_114902.jpg


Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Sijaelewa kabisa.
Mfano wa mechi
Simba vs Dodoma Jiji
simba anaandikwa 1 kama timu ya nyumbani

Dodoma Jiji anaandikwa 2 kama timu ya ugenini

ukibeti ukaandika 1 maana yake timu ya nyumbani ashinde
2 maana yake wa ugenini ashinde

x itoe suluhu

12 maana yake nyumbani au ugenini ashinde

1x maana yake wa nyumbani ashinde au adraw.

2x... (jaza mwenyewe)
 
Back
Top Bottom